Tabia za kujibu text wanawake walizonazo zinazokera

Maana ya 'k' mtu yoyote hataki usumbufu. ..mm mwenyewe binafsi huwa nikiona mdada ananizungua namjibu "k"...Ila huwa wanakasirika ila naomba msamaha mambo yanasonga mbele...
 
Habari wanajamvi, hii tabia iko hasa kwa wanawake naamini kuwa every one is different ila kuna vitu vingine huwa vinaboa

1)Unakuta mtu unamuandikia mwanamke text ndefu ya maana (sio love text) umejielezea vizuri na text inahitaji long explanation lakini mtu ana kujibu "k"

2)Au unakuta kwenye makundi ya whatsapp demu akichangia anaandika maneno mawili tu hadi watu wanashindwa kuelewa kuwa kuwa huyu mtu anamaanisha nini.

3)Au unamtext demu leo na unamuona yuko online lakini anakuja kukujibu massege yako baada ya 9hrs au anajibu kesho yake.Na sio kwamba yuko busy sana au massege yako haina maana, yani ni basi tuu

Sasa sijui wengi wao wanafanya hivyo ili waonekane expensive sana au?

tAFUTA HELA, YOTE HAYO YATAISHA TU MKUU
 
Mkuu tuko tofauti.... Huwezi mbadilisha mtu awe vile unavyotaka wewe.... Binafsi sio mpenzi wa kuchat so labda siku hiyo nimeshika simu mkonon nikiona sms ndio niijibu la sivyo ni kero kwa mwingine

Mambo,cn we chart if u dn mind?
 
hiyo tabia sio wadada tuu hata wanaume pia....ishu n mtu anakua hataki kukujibu
 
Habari wanajamvi, hii tabia iko hasa kwa wanawake naamini kuwa every one is different ila kuna vitu vingine huwa vinaboa

1)Unakuta mtu unamuandikia mwanamke text ndefu ya maana (sio love text) umejielezea vizuri na text inahitaji long explanation lakini mtu ana kujibu "k"

2)Au unakuta kwenye makundi ya whatsapp demu akichangia anaandika maneno mawili tu hadi watu wanashindwa kuelewa kuwa kuwa huyu mtu anamaanisha nini.

3)Au unamtext demu leo na unamuona yuko online lakini anakuja kukujibu massege yako baada ya 9hrs au anajibu kesho yake.Na sio kwamba yuko busy sana au massege yako haina maana, yani ni basi tuu

Sasa sijui wengi wao wanafanya hivyo ili waonekane expensive sana au?
ukiona hvyo jua hana interest na wewe kwa hyo hajichoshi... huelew lugha ya picha kama maneneo yamekushinda jaman. pole thou.
 
Una wait text inbox 2hours then anakujibu...K...? Huo ni upumbavu joh!!
 
Back
Top Bottom