danbrasco
Senior Member
- Jun 2, 2011
- 118
- 13
Mtu kuchelewa kujibu au kutokujibu ujumbe wako ina maana nyingi mojawapo inaweza kuwa hataki ukaribu na wewe.
hajui kusoma alama za nyakati.
Mtu kuchelewa kujibu au kutokujibu ujumbe wako ina maana nyingi mojawapo inaweza kuwa hataki ukaribu na wewe.
Then DIALAjaribu kubonyeza reli #
Hao wanawake unaowasiliana nao kwa message una mahusiano nao gani? Mama, dada, rafiki, jirani, au yeyote?
Ukiwa na hela nakuachia papuchi mpaka naiweka kwenye frezer
ha ha ha ah a tumia daladala za mwananyamala kuanzia sa kumi na mbili utanionaI wish hata nikuone kwa bahati mbaya bila wewe kujua kwenye daladala...bt I bet u might be beautifuly and sophisticated creature!
Unajua saana kutwist mind za minjemba kama mpaka sasa utakua huna njemba yenye mkwanja dadaa baasi....
ha ha ha ah a tumia daladala za mwananyamala kuanzia sa kumi na mbili utaniona
:angry: unasema ? acha usumbufu umeanza 😡Usije nifanya nikaonekana mwendawazimu mamii, nikawa natoa macho kama kinyonga anavuka barabara ndani ya daladala za mwananyamala kwa kumuangalia na kumtabasamia kila abiria mrembo wa kike nikiamini miss chagga.
Awww!! Sorry yaleyale yanayosemwa maandishi mengi kama wosia wa Teacher Kambarage, nisije ishie "k". Lol! Nitakugaya mpaka mello atakapoiuza JF.
:angry: unasema ? acha usumbufu umeanza 😡
ha ha ha thank u nawe pia handsome:couch2:Mcutte kwa kupiga biti!! Kama mwalimu wa zamu Shule ya msingi Bunge! Lol!
Anyways ! Jioni njema mcutte!!.
nakipendaga kidhungu mimi...ila basi tu huku pandagi chiza hakuna tuition...yes yes no...napenda sana!If its real okey dont mention those two words to me .. uminifanya mood ibadilike . ....
nakipendaga kidhungu mimi...ila basi tu huku pandagi chiza hakuna tuition...yes yes no...napenda sana!
wacha weeee...kwa hiyo hapo sa-hii mambo yako safi na uko njwiiii!nikipata hela na kibia kiinglish kinakujaga chenyewe
Tatizo huna hela mkuu
matusi yote nakubaligi lakini hili naomba ufafanuzi mkuu unafki wangu uuu wapi?
ni tusi kubwa sana .. likifuatiwa na tusi shauri yako haya maneno mawwli ukiniita lazima unipe maelezo in details ... naomba usininyime raha
nikipata hela na kibia kiinglish kinakujaga chenyewe
wacha weeee...kwa hiyo hapo sa-hii mambo yako safi na uko njwiiii!