getrude furahia
Member
- Nov 26, 2014
- 31
- 1
pole kwa yote, hilo sio wanawake tuu bali hata wanaume wapo wengi tuu, kwahiyo ni tabia ya mtu na sio jinsia, binafsi huwa nakwazika, maana mtu anakuwa km kadharau ulichoandika
hahahaaaaaa! sasa wewe muonyeshe kuwa pesa ni kitu kidogo sana na unaweza kuushiriki uxpensive wake.
mrushie kilaki 1 alafu mwambieumemtumia anunue BATOOK kaa kama sec5, uone atakavyo kutext kila saa, hata usiku wa manane kukuuliza "hivi kaka uliniambia unamtu vilee au nimejichanganya? mimi mwenzio nalala peke yangu, alafu naogopa". ukifanya hilo na asipo reply niambie,nitaenda kuogea ubungo mataa saa mbili asubuhi.
Mambo,cn we chart if u dn mind?
Mambo,cn we chart if u dn mind?
iyo ya kujibiwa K inaboa tena k ya herufi ndogo aaaaaah
hahahaaaaaa! sasa wewe muonyeshe kuwa pesa ni kitu kidogo sana na unaweza kuushiriki uxpensive wake.
mrushie kilaki 1 alafu mwambieumemtumia anunue BATOOK kaa kama sec5, uone atakavyo kutext kila saa, hata usiku wa manane kukuuliza "hivi kaka uliniambia unamtu vilee au nimejichanganya? mimi mwenzio nalala peke yangu, alafu naogopa". ukifanya hilo na asipo reply niambie,nitaenda kuogea ubungo mataa saa mbili asubuhi.
mesage zako ndefu sana alafu content ni moja tu.... kiukweli kuna wanaume wanamaandiko marefu hayana maana massage ya hela iwe ndefu ya mtongozo ndefu loh... hujui ukiwa maneno mengi sana jua unadharaulika
Ukiona hivyo jua unaboa pengine au umekinaiwa, jifunze kusoma alama za nyakati.
Hiyo iko kawaida sana akijikuta wa nusu nusu mie warobo robo....sasa mim nataka kuuliza na mwanaume kujibu hivyo inakuwaje tena anamjibu mwanaume mwenzie ni kwamba sio riziki au inakuwaje.....
Habari wanajamvi, hii tabia iko hasa kwa wanawake naamini kuwa every one is different ila kuna vitu vingine huwa vinaboa
1)Unakuta mtu unamuandikia mwanamke text ndefu ya maana (sio love text) umejielezea vizuri na text inahitaji long explanation lakini mtu ana kujibu "k"
2)Au unakuta kwenye makundi ya whatsapp demu akichangia anaandika maneno mawili tu hadi watu wanashindwa kuelewa kuwa kuwa huyu mtu anamaanisha nini.
3)Au unamtext demu leo na unamuona yuko online lakini anakuja kukujibu massege yako baada ya 9hrs au anajibu kesho yake.Na sio kwamba yuko busy sana au massege yako haina maana, yani ni basi tuu
Sasa sijui wengi wao wanafanya hivyo ili waonekane expensive sana au?
Nikupe sh ngapi mwaya tufanye yetu
Tatizo huna hela mkuu
mesage zako ndefu sana alafu content ni moja tu.... kiukweli kuna wanaume wanamaandiko marefu hayana maana massage ya hela iwe ndefu ya mtongozo ndefu loh... hujui ukiwa maneno mengi sana jua unadharaulika
Ukiona hivyo jua unaboa pengine au umekinaiwa, jifunze kusoma alama za nyakati.
If its real okey dont mention those two words to me .. uminifanya mood ibadilike . ....