asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Umesahau wasafiri wa Dodoma - Iringa kupitia mtera........yaani hadi nyama mbichi na kuku wanatundikwa kwenye carrier na ukiuliza gari zima wanakutukana.
Kuna hii sasa
Mmekaa kwenye foleni say unachat na wana kupitisha time kuna boya katoa mimacho kwenye simu yako anasoma kila kitu,yaaani mpaka ukikosea kuandika NYUMBA anatamani akuambie sio numba ni nyumba khaaaaaaaaaaaa!!!!!!
Dawa ni kuandika; NINAYE HAPA KAKAA UPANDE WANGU WA KULIA/ KUSHOTO NA NTAMFUATILIA NIJUE ANAPOKAA ILI USIKU TUMALIZE ILE ISHU
kujichokonoa meno na toothpick baada ya msosi tena mbali kabisa na restraunt/canteen/cafeteria huku ukiwa na wenzio mnapiga stroty kidogo baada ya masosi, basi mtu unakuta anaachama hadi mate yanaruka,inakera sana
We Marrykate kupiga "stroty" ndiyo kufanya nini?
lekebisha basi, ni story lol,
Hii niliiona sana shule zetu za Boarding haswa kwa wanafunzi waliokuwa wakihitimu
Vitambi kila kona ya jiji tena wake kwa waume
Wambea wa JF nao wanakera sana.
Unakuta jitu halikujui lakini kwa kujifanya linakujua ni bingwa. Kila mtu linamwambia 'aah yule Ngabu mi namjua sana yule'
Umenijulia wapi wewe mburula?
Halafu linaeneza umbea wake eti limekutana na wewe sehemu fulani wakati hata jinsi ufananavyo halijui.
Sasa mmekutania wapi kama mtu hata humjui zaidi ya kumsoma tu hapa JF?
Mazafacka hunijui sikujui, acha kujifanya unanijua. Kunijua siyo ujiko.
Au we ulidhani mashori watakushobokea ukijifanya unanijua?
hahahahahahaha! NN umeua mbaya, kwamba namjua sana yule, toka maskuli yupo vilevile!
mtu anajiachiaaaaa mguu mmoja kule mwingine kule ...
unaniachia mimi kwa hisani ya watu wa Sinza
Kuna mtu ana dalili zote za kung'olewa meno kwenye basihalafu ukute kikwapa kinatema ,,,,,, huwa nawatolea uvivu , ikishindikana namkula bega la meno.
Yup...halafu sasa hata kukutana na wewe hawajawahi! Hawajui unafananaje....hata hawajui unaitwa nani...wanachojua ni habari za umbea tu wanazopeana.
Wajinga kabisa.