Tabia za kinamama zinazoniudhi

Tabia za kinamama zinazoniudhi

Wanawake wengi wa Tanzania hawajiamini kuhusu miili yako.

Utakuta ana

Rangi ya ngozi feki,
Kucha feki,
Kope feki,
Rangi ya mdomo feki,
Makalio feki,
Kucha feki,
Nywele feki,
Mapenzi feki.


Jiwe lililotupwa gizani, ukisikia kelele ujewe limempata mtu.
Subiri wenyewe waje mkuu....ukisikia aaaaaaaa ujue limempata mhusika.
 
Simu zao huisha chaji hata kama ni asubuhi na anaishi nyumba yenye umeme na gari yake ina charger.Mwingine anasahau simu oficin kwa watu
 
Mwanamke anayetembea na toothpick mdomoni hata salamu simpi.

Mwanamke aliyesukia weaving linamuwasha kwa uchafu badala ya kulitoa anajipiga-piga kichwa kujikuna kila baada ya dakika 2.
Mwanamke wa aina hii akinisemesha simjibu kitu mpaka akatoe hizo nywele za maiti.
nimejikuta nacheka yaani ulivyokuwa makini kuwaangalia kweli huwa wajipiga piga nawaangalia mabinti hapa kazini taabu wanayopata tena wengine hukaa nayo mpaka yananuka.
 
nimejikuta nacheka yaani ulivyokuwa makini kuwaangalia kweli huwa wajipiga piga anawaangalia mabinti hapa kazi taabu wanayopata tena wengine hukaa nayo mpaka yananuka.

nachofanya namsaidia kwa kumpiga konzi muwasho upungue kidogo.
 
...Utakuta mwanamke kaanika vipaja uchwara vyake nje akisuguliwa miguu na kubandikwa....

Nimejaribu kuimagine kichwani hivyo vipaja uchwara sijui vinafananaje. Siku ukipita kule Mwenge ukaviona usisite kupiga ka picha na kurudi kukatupia hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom