Tabia za kinamama zinazoniudhi

Tabia za kinamama zinazoniudhi

Hivi unaanzaje kujishughurisha na mwili wa mwenzio ambao haukuhusu na wala hauhusiki na gharama za kufanyia hayo anayoyafanya kwenye mwili wake??????

INASHANGAZA SANA
 
wigi la nini sasa check mwenzio alivyo pendeza
e57494d191a28da907154126d3628d64.jpg
Pendeza sana. Namna hii ndivyo wanawake wanavyotakiwa kuwa kuliko kuhangaika kujipaka sumu kila siku.
 
Hivi unaanzaje kujishughurisha na mwili wa mwenzio ambao haukuhusu na wala hakuombi hela ya kufanyia hayo anayoyafanya kwenye mwili wake??????

INASHANGAZA SANA
Hivi unaanzaje kujipaka ma makeup hadi unakuwa ka kinyago na kuwatisha watu mitaani?

INASHANGAZI SANA.
 
Hivi unaanzaje kujipaka ma makeup hadi unakuwa ka kinyago na kuwatisha watu mitaani?

INASHANGAZI SANA.
Makeup nipake mie kwenye USO wangu kwa gharama zangu wewe inakuhusu nini??
 
Makeup nipake mie kwenye USO wangu kwa gharama zangu wewe inakuhusu nini??
Unawatisha watu kwa sura yako ka knyago baada ya kuvaa nywele na kucha za maiti na kupaka mi makeup uchwara yako. Paka hizo sumu zako halafu kaa ndani mwako uone kama kuna mtu atajishughulisha nawe.
 
Hivi unaanzaje kujishughurisha na mwili wa mwenzio ambao haukuhusu na wala hauhusiki na gharama za kufanyia hayo anayoyafanya kwenye mwili wake??????

INASHANGAZA SANA
watu wa hivi ukiwaacha bila kuwaambia ni dhambi
0aabdf08d6aadd9b0e0ababae935ce05.jpg
4e7ade6a30b8991f7552338965edc275.jpg
 
sawa ila BILA NYWELE FAKE UTAPENDEZA ZAIDI.
Mwangalie Sudy Brown afu waangalie wenzie kina B12, watapata wapi muda wa kuwaza maendeleo yao binafsi wakati kutwa wako bize na maisha ya watu.
 
Hivi nyie wanaume kutwa kulalamika. Hivi mnajua nasisi yako mengi yakwenu yanatukera hatuyaongei maana one man's meat is another man's poison kila mtu anakitu anakihitaji na pia kila mtu na choice yake. Tafteni pesa mtakuja kutupata sio kutumalizia stress mxuieee

Wanawake wengi wa Tanzania hawajiamini kuhusu miili yako.

Utakuta ana

Rangi ya ngozi feki,
Kucha feki,
Kope feki,
Rangi ya mdomo feki,
Makalio feki,
Kucha feki,
Nywele feki,
Mapenzi feki.


Jiwe lililotupwa gizani, ukisikia kelele ujewe limempata mtu.
 
Mwanamke anayetembea na toothpick mdomoni hata salamu simpi.

Mwanamke aliyesukia weaving linamuwasha kwa uchafu badala ya kulitoa anajipiga-piga kichwa kujikuna kila baada ya dakika 2.
Mwanamke wa aina hii akinisemesha simjibu kitu mpaka akatoe hizo nywele za maiti.
Na hili joto la Dar ata sielewi wanawezaje kubeba yale madude wiki nzima!
 
Halafu wenyewe wa naona kawa wameibeba dunia ulembo kiasi si mbaya kila sasa wengine wanazidisha unawezapishana na mtu utafikikiri vampire au zombie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom