angelita
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 3,017
- 2,446
Haya ni maneno ya Wanaume suruali mifuko haisomi namba, Mwanamke wake Urembo na Biblia yangu inaniambia hivyo maana ni pambo shurti liwake wake kumvutia mtazamaji, upo hapo babu....?[emoji2][emoji2]kuwa mrembo bila nywele fake inawezekana lifanyie kaz hilo
Haya muda wa kazi huu katafute hela upate ya kumpa Mkeo hata ya kusuka yeboyebo na kupaka rangi kucha.