mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 10,519
- 19,885
Kutoa ni moyo mkuu,,,sio utajiri,,,na ukiona unaombwa sana pesa ujuwe unatoa pesa,,,yupo ndy yetu mmoja ana kazi nzr na pesa pia,,,ukimuomba msaada wa pesa atakujibu vuta subira,,, yatakwisha tu,,,na hakupi hata sent moja,,,Dada ana roho ngumu sana,,,,sasa hakuna anayemuomba pesa,,,hivyo mkuu ,,ukiombwa sana elewa unatoa,,na pia una kauli nzr