Wachagga na kuchangisha mchango ya watu wenye matatizo wamegundua nini?

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,200
27,245
Nimeona mjadala mkubwa mitandaoni ukiendelea wa wachagga wenzangu sasa hivi kuingia kwenye hii ya kujitolea Kuchangisha michango mtandaoni kwa watu wenye matatizo wakiwemo wagonjwa.

Mjadala mkali sana na tuhuma zikisema wanakula hizo pesa, wanajinufaisha wenyewe. Na ndio wengi wakaja na conclusion kuwa kwa nn wengi wanaojitolea hii kazi ya kukusanya michango na kusaidia wahitaji ni wachagga tu?

Wanaohoji kwanini namba inawekwa ya anayechangisha na sio mhitaji? Mbona pia hakuna mrejesho wa pesa inayochangwa naa ilivyotumika.

Niwaambie ukweli
Kwenye pesa wachagga hatuna utani shauri zenu. Huu ni utapeli kama ulivyo mwingine tu, wewe ukiamua kuchanga sawa Ila jua wenzio ndio wanapopatia riziki zao hapo.
 
Hongereni sana wachagga kwa kuwajali wenye shida kwa michango. Nawashauri anzisheni benki kwa ajili ya michango hiyo na mtupe mirejesho kila mwezi.
 
Back
Top Bottom