Tabia ya watu kuniomba pesa kuwaacha wenye pesa inatokana na nini?

Kutoa ni moyo mkuu,,,sio utajiri,,,na ukiona unaombwa sana pesa ujuwe unatoa pesa,,,yupo ndy yetu mmoja ana kazi nzr na pesa pia,,,ukimuomba msaada wa pesa atakujibu vuta subira,,, yatakwisha tu,,,na hakupi hata sent moja,,,Dada ana roho ngumu sana,,,,sasa hakuna anayemuomba pesa,,,hivyo mkuu ,,ukiombwa sana elewa unatoa,,na pia una kauli nzr
 
Taarifa kuhusu wewe zinasambaa. Kila mwenye shida akiomba kwa mtu ambae tayari ulishampaga hela huyo mtu atamwambia aje kwako utamsaidia. Ukimpa huyo mtu naye atamshauri mwingine aje kuomba kwako. Hivyohivyo mpaka unaombwa na kila mtu.

Jifunze kusema hapana. Hata kama mtu analia vipi, kama hatakufa kwa kukosa msaada wako sema hapana. Taratibu wataanza kubadilisha ushauri wanaowapa watu utaacha kuombwaombwa.

Nilijuaje hili? Kipindi nikijisikia mkarimu na kumtumia mtu mmoja pesa basi siku hizo mbili naweza kuombwa na wengine wawili. Ila nikimtolea mtu nje maombi yanapungua.

So hivi sasa nikiwa na hela ambazo hazitauma kupoteza na saidia kwa siku 1 au mbili alafu ni ukauzu mwezi mzima. Na kiwango cha mwisho ni 10,000 zaidi ya hapo nakataa.
 
.
IMG_20200704_133446.jpg
 
Ktk uzi huu nimepata maoni tofautitofauti, najuta kwanini nimeuleta humu. Nashindwa nishike kipi.
 
Habari za majukumu wadau wenzangu.

Nimekuwa nikiombwa hela na watu tofautitofauti tangu nikiwa Mdogo kabisa. Nilipokuwa nasoma shule, nikirudi likizo watu huniuliza una buku hapo?

Hadi leo nahangaika na maisha yangu bado mizinga ni mingi. Mfano kuombwa Shililingi 200, 500, 1000, 5000, 10000 na wengine wakizidi hapo watajifanya wanakopa na hawanirudishii.

Kuna watu mtaani na hata ndugu zangu wenye uwezo kuliko mimi lakini siwaoni wakiombwa hela na watu. Nimewahi kuwauliza wakasema hakuna anayethubutu kuwaomba hela.

Hapa Kuna mtu ananisumbua tangu jana anaomba elf tano tu. Mwezi wa pili nilimpa elf 12 bure kabisa. Sasa karudi tena. Hali hii inatokana na nini? Napatwa na wasiwasi.
Hiyo ni karama na hakuna ubaya wowote.. Cha muhimu toa kwa wahitaji hasa na wasio na matumizi mabaya ya hicho utoacho.. Lakini kuna wakati pia lazima uangalie umampa nani na kwanini unampa.. Si kila mmoja aombaye hupewa... Endelea kutoa lakini toa kwa tahadhari kwakuwa ni KWA KUTOA NDIO TUNAPOKEA
 
Nimekuelewa mkuu, wapo baadhi walishauri hivihivi hapa uzini
 
Hongera una nyota ya Mother Teresa,unaroho nzuri pia kama sio wewe utatusua basi ur generation watakuwa Royal families.
Endelea kutoa boss hata saninui lazier nasikia alikuwa sio mchoyo MTU wa watu.
Hii comment yako bado yanitia Moyo Sana. Amen
 
Habari za majukumu wadau wenzangu.

Nimekuwa nikiombwa hela na watu tofautitofauti tangu nikiwa Mdogo kabisa. Nilipokuwa nasoma shule, nikirudi likizo watu huniuliza una buku hapo?

Hadi leo nahangaika na maisha yangu bado mizinga ni mingi. Mfano kuombwa Shililingi 200, 500, 1000, 5000, 10000 na wengine wakizidi hapo watajifanya wanakopa na hawanirudishii.

Kuna watu mtaani na hata ndugu zangu wenye uwezo kuliko mimi lakini siwaoni wakiombwa hela na watu. Nimewahi kuwauliza wakasema hakuna anayethubutu kuwaomba hela.

Hapa Kuna mtu ananisumbua tangu jana anaomba elf tano tu. Mwezi wa pili nilimpa elf 12 bure kabisa. Sasa karudi tena. Hali hii inatokana na nini? Napatwa na wasiwasi.

Hali hii inatokana na wewe kuonesha kuwa una huruma!!
 
Shangazi yangu alishanambia kuwa ukiona watu wanakutegemea kama mzazi wao ni ishara una roho nzuri na unatakiwa kujiimarisha zaidi kiuchumi ili uendelee kupata zaidi.

Ila kumbuka tu uwe unatoa na kubakisha chako cha kukusitiri wewe na kulinda heshima yako katika jamii. Kutoa ni jambo zuri ila usitoee sanaaa hadi ukajipunja mwenyewe, hiyo si sawa. Endelea na moyo wa utoaji na ujitahidi sana kupambana ili uwazaidie hao wanaokutegemea.
 
Nashukuru kwa ushauri
 
Hiyo ndio dawa, wakishona unawabania wanaacha wenyewe. Mimi nilizoea kutoatoa baadae nikashtuka baada ya kupiga mahesabu, nikaona sehemu kubwa tu ya kipato changu cha mwezi naishia kuwapa watu.
Nikasitisha rasmi, labda mtu awe yuko hospitali anahitaji hela ya dawa, kinyume na hapo sina hela.
Mkono unaotoa riziki ndio hupitishiwa riziki. Usiogope sana kutoa sababu kupitia kutoa hata mikondo ya pesa huelekea kwako na ukapata zaidi.

Hauoni wahindi na waarabu wanavyokuwa wanatoa misaada kila ijumaa na siku za sikukuu wanatoa sadaka kwa watu fukara na kuwawezesha.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom