Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,939
- 67,457
wanasoma bule wewe unashule au ya mchungaji
Oh kumbe aya hiyo shule ya shehe wako iko wapi
wanasoma bule wewe unashule au ya mchungaji
Mimi siyo Muislamu....Mbona ninyi mnaleta watoto wenu shuleni kwetu why msiwwapelek hizo shule zenu
SAdaka za maaganoSadaka kutoka kwao...
it's a ritual among arabs, no free meal. nyuma ya pazia kuna mambo mengi yanafanyika kuhusiana na hizo nyama wanazogawa.
waswahili na njaa zenu huwa hata hamjiulizi,mnapokea tu na kwenda kula na familia zenu.
kuna tajiri mmoja maarafu sana hapa tz(muarabu), kugawa nyama kwa wafanyakazi wake ni moja ya kafara zake. baadhi huwa hawapokei. hawaelewiii. Unajikuta unafanya kaz sana na hela unapata ila hutoki kimaisha hata uwe na nidhamu ya fedha
Ndio maana kwa elimu yangu ya shiriki siwezi kutekwa kizembe zembewewe mpaka sasa ni mshirikina tu labda ujui maana ya mshirikina
Ni udhalilishaji na kuwageuza watu wetu mafisi wasioweza kufunga au kununua nyama. Ni tabia chafu. Wenzetu wanatoa na wengne wanapokea. Hao wapokeaji watatoa lini na nini kama siyo utu wao? Hizi dini ni taasisi za kikoloni na kidhalilishaji tuKama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.
Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.
Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.
Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?
Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?
Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!
Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
miswahili inaelewa basi, wao wanaendekeza njaa tu.Walafo hiwa hawaelewiii. Unajikuta unafanya kaz sana na hela unapata ila hutoki kimaisha hata uwe na nidhamu ya fedha
huna akili.Umepangilia maneno vizuri kama ni point kumbe ushuzi
Kuchinja kwa muumini ni ibada kama ibada nyingine alafu uislam misingi yake ni kugawa na kupeana sio uchoyo ndo mana mnatoaga meno ikifika eid na ramadhan muda wa ftar wengine hadi suhoor (daku) mnaamka na tunakula ote
Umeingia cha kike mwalimu. Hao jamaa wanagawa nyama ili kuchota nyota za watu.Mkuu
Ni simple TU
Mungu wa waislam anagawa vitu KWA WATU Mbali Mbali!
Lakini Mungu anaehubiriwa kwenye makanisa Mengi anakusanya vitu KWA WATU!
Chunguza ulete mrejesho mkuu
Japo YESU aliegawa Sana KWA watu kama samaki wale na mikate lakini watumishi na makanisa Mengi ya kileo yanakusanya kuliko kugawa KWA watu!!!!
Chunguza kwa MAKINI nilichoandika Hapa!!
Majini mema na mabaya.hiyo dini mkanganyiko wake uko sehemu gani?
Inaitwa 'brain washing,' hawa watu ni wajanja sana, kwao hawana umoja hata kidogo ila wanakuja huku Afrika kuwateka watu wasiojitambua akili na kueneza dini yao, matokeo yake unakuta ndugu zetu (masheikh) wanatupiana laana za albadiri na kuuana kisa nyama za ngamia na tende za bure.Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.