Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

Mkuu

Ni simple TU

Mungu wa waislam anagawa vitu KWA WATU Mbali Mbali!

Lakini Mungu anaehubiriwa kwenye makanisa Mengi anakusanya vitu KWA WATU!

Chunguza ulete mrejesho mkuu

Japo YESU aliegawa Sana KWA watu kama samaki wale na mikate lakini watumishi na makanisa Mengi ya kileo yanakusanya kuliko kugawa KWA watu!!!!

Chunguza kwa MAKINI nilichoandika Hapa!!
👏
 
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.
Munakereka na mengi, kama hutaki si uondoke tu uache wanaotaka waendelee kupata mchele na nyama ya bure. Wewe unaweza kuona sio muhimu lakini kwa wenzako labda ndiyo wanakula nyama mara moja kwa wiki.

Halafu ziko sadaka za aina nyingi inategemea mwenyewe muhusika amekusudia nini, ziko za kujenga misikiti na madrasa, nguo za kuvaa, kusaidia kielimu watoto yatima na hata kujengewa nyumba kwa baadhi ya watu ambao ni masikini sana.
 
Mimi ni mkristo tena mkatoliki kiukweli waislamu ni wath wakarimu sana wenye utu na upendo japo mafundisho yao yanamkanganyiko sehemu flani waislamu wengi wenye vipato vikubwa wameweka mabomba ya maji nje ili watu wachote bure bila kugharamia chochote ata misikitini ila makanisa mengi siyo sehemu ya kurudisha kwa jamii wao wanapokea tu ila si kutoa na ikitokea tatizo kidogo wanalirudisha kwa waumini, makanisa mengi yana falsafa za kibepari kuliko ujamaa maanaa ujamaa umebeba utu,huruma na upendoo
Umeongea vema sana, na ndiyo maana huwezi kuona mashehe wengi wakitembelea ma Vogue au mashangingi au kuishi kifahari kama wafanyo manabii na hawa wanaojiita mitume...
 
Hao ndo WAARABU, kugawa nyama, tende, kujenga misikiti NO ELIMU, matokeo yake jamaa zao wanaanza dai hati miliki za mali zetu (KCMC)
Wacha ujinga wewe na hiyo KCMC yako iliyojengwa na mzungu.

Wapo waumini wengi tu (Waarabu na Waafrika) huwa wanawasaidia watoto yatima na wasiojiweza kuwapa support kwenye elimu na hutasikia hata siku moja wakijitangaza. Kwenye uislamu ukimsaidia mtu hupaswi kujitangaza tafauti na nyinyi.
 
it's a ritual among arabs, no free meal. nyuma ya pazia kuna mambo mengi yanafanyika kuhusiana na hizo nyama wanazogawa.

waswahili na njaa zenu huwa hata hamjiulizi,mnapokea tu na kwenda kula na familia zenu.

kuna tajiri mmoja maarafu sana hapa tz(muarabu), kugawa nyama kwa wafanyakazi wake ni moja ya kafara zake. baadhi huwa hawapokei.
Binafsi nakuunga mkono
 
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.

Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.

Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.

Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?

Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?

Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!

Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
wapi huko?
 
Wao wamekuletea nyama na wali sasa kwann hizo shida zingine kama elimu na nyinyi simjitahidi kuzitatua nyinyi wenyewe?

Kwamba nyinyi waafrika mmekuja duniani kukaa tu na kusubilia kutatuliwa shida zenu zote na waarabu au wazungu?

Alafu kingine hawajakushikia bunduki kwenda kuchukua hizo nyama sasa sijui ww kinacho kuuma ni nn hasa.
kinacho muuma chuki tu sio kingine uwezo wa kutoa hana anamchukia anae toa hehehe hatari
 
Mimi ni mkristo tena mkatoliki kiukweli waislamu ni wath wakarimu sana wenye utu na upendo japo mafundisho yao yanamkanganyiko sehemu flani waislamu wengi wenye vipato vikubwa wameweka mabomba ya maji nje ili watu wachote bure bila kugharamia chochote ata misikitini ila makanisa mengi siyo sehemu ya kurudisha kwa jamii wao wanapokea tu ila si kutoa na ikitokea tatizo kidogo wanalirudisha kwa waumini, makanisa mengi yana falsafa za kibepari kuliko ujamaa maanaa ujamaa umebeba utu,huruma na upendoo
hiyo dini mkanganyiko wake uko sehemu gani?
 
Nilipata bahati kwenda Muscat ikifika mwezi wa ramadhani watu ufungua mageti misosi inapangwa unafanywa kuvutwa shati upate ata maziwa tu .watu wanajaza misosi kwenye Rangerover kutafuta walaji .ukifika mwezi wa huo sijawahi pika geto
Hahaa upo wap, sisi hapa dhofar mbona maisha simple tu.muscat sehem gan ulipo
 
it's a ritual among arabs, no free meal. nyuma ya pazia kuna mambo mengi yanafanyika kuhusiana na hizo nyama wanazogawa.

waswahili na njaa zenu huwa hata hamjiulizi,mnapokea tu na kwenda kula na familia zenu.

kuna tajiri mmoja maarafu sana hapa tz(muarabu), kugawa nyama kwa wafanyakazi wake ni moja ya kafara zake. baadhi huwa hawapokei.
Lete Maneno......
 
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.

Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.

Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.

Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?

Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?

Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!

Nawasilisha akina nani, msije na hasira.

imekaa hivyo hivyo
 
KAA NA MBALI NA HIZO NYAMA ZA WAARABU MKUU, WENGI WANAROGEZEA NA KUNUIA MAJINI NA MIZIMU YA KWAO

kwa wa romakatolik kuweni mbali waacheni wanaomjua mungu wale nyinyi mungu wenu binadamu
 
Back
Top Bottom