Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

it's a ritual among arabs, no free meal. nyuma ya pazia kuna mambo mengi yanafanyika kuhusiana na hizo nyama wanazogawa.

waswahili na njaa zenu huwa hata hamjiulizi,mnapokea tu na kwenda kula na familia zenu.

kuna tajiri mmoja maarafu sana hapa tz(muarabu), kugawa nyama kwa wafanyakazi wake ni moja ya kafara zake. baadhi huwa hawapokei.
Huku kwetu masheikh wanaona dili na kuuana kwa kufanyiana albadiri bila kujuwa ukweli wowote.....dini za maboti hizi🤔
 
kama unasema kweli hebu tuwekee picha ya hilo jini tulione na huo msikiti na utaje uko sehemu gani uchawi wa wachungaji sio siri tene ingio goolg utapata mengi kuhusu makani na wachungaji wanako chukulia uchawi huo
Hivi kuna msikiti ambao hawafugi majini kweli?
 
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.

Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.

Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.

Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?

Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?

Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!

Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
Watoto wa kiume videvu vimekomaa wanaona uroooda kupewa nyama za bure na warabu!!!!Vijana wa kitanzania bhana🤣🤣🤣🤣
 
Ndio mtambiko yao na hasa ktk uislamu hii ipo sana sijui kwanini!
Huwa wanafanya kwanza 'manuizi' kaa mbali sana na hivi vitu!
lete andiko kwenye kitubu chako lalo pinga kuchinya wanyama na kwagaia watu sio unalopoka tu
 
kafiri kwa chuki usipime hiyo misaada kama igetolewa makanisani kila kafiri ungemuona akikometi kusifia
Watoto wa kiume mnaona raha na uroooda kupewa nyama na waarabu!!!Ebu kuweni seriously na maisha yaani nyama ya ngombe mnaita msaada???
 
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.

Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.

Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.

Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?

Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?

Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!

Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
Yaani watoto wa kiume nyama mnaita msaada!!!Kuweni serious na maisha basi
 
Inaitwa 'brain washing,' hawa watu ni wajanja sana, kwao hawana umoja hata kidogo ila wanakuja huku Afrika kuwateka watu wasiojitambua akili na kueneza dini yao, matokeo yake unakuta ndugu zetu (masheikh) wanatupiana laana za albadiri na kuuana kisa nyama za ngamia na tende za bure.
sifa yakafiri ni kuwacha yanayo fanyika kanisani kwake na kukosoa ya msikitini huo ndio ukafiri nikuulize swali hayo masanamu kanisani kwanu yakazi gani?
 
Umepangilia maneno vizuri kama ni point kumbe ushuzi
Kuchinja kwa muumini ni ibada kama ibada nyingine alafu uislam misingi yake ni kugawa na kupeana sio uchoyo ndo mana mnatoaga meno ikifika eid na ramadhan muda wa ftar wengine hadi suhoor (daku) mnaamka na tunakula ote
Wazee wa elimu ahera, eti elimu ya hapa duniani hamuitaki mnapenda ile ya kusadikika.
 
Ukitaka mambo yako yafanikiwe toa sadaka,

Na sadaka nzuri inakwenda kwa wenye uhitaji, hata wewe tafuta mtu mwenye kuhitaji utoe sadaka,

Hii ndo siri ya mfanikio, anza ifanyia kazi utaona mambo yanavokunyookea
Kwa mujibu wa imani ipi sasa kaka???Maana imani zipo nyingi duniani kaka???
 
sifa yakafiri ni kuwacha yanayo fanyika kanisani kwake na kukosoa ya msikitini huo ndio ukafiri nikuulize swali hayo masanamu kanisani kwanu yakazi gani?
Ni sawa na kuuliza vijiambata vya nyota na mwezi zina kazi gani msikiti
 
Waislamu wooote ni watu wazuri sana!! bana weee! kwa misosi kariakoo kwakweli tunafaidi sana! hata km wanafanya matambiko kuna ubaya gani??

Mbona kanisani mnatoa hela ??? zikasaidie maskini?? muslamu yeye ananunua kabisaaa hadharani mje mle wooote!......tatizo mleta mada mchoyo/roho mbaya akiona wengine wanabarikiwa kwa kutoa sadaka!!
Waslamu si ndiyo wafuga majini na wanao jitoa muhanga hawa? Sasa uzuri wao ni nini?
 
Anza wewe kujibu swali langu viambata vya mwezi na nyota vina kazi gani msikitini????Kama unashangaa viambata vya masanu kanisani kaka??????Usiwe maamuma al takafur 25000q!!!
wewe mshezi tu ujui lolote nikuuliza swali ungekuwa muungwana ungejibu kisha ukauliza ila kwa kuwa mshenzi nawe unauliza hovio
 
Back
Top Bottom