Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

KAENI MBALI NA NYAMA ZA WAARABU, WENGI WAO WANAFANYA MAKAFARA NA MATAMBIKO NDO WANAGAWA

KUNA KIWANDA BAADA YA KUCHINJA DAMU YOTR WANAMWAGIA KWENYE ZILE MASHINE ZAO KWA KUZIZUNGUKA KISHA NYAMA WANAPEWA WAFANYAKAZI WAO WANAENDA KULA.

TUPUNGUZE NJAA NDUGU ZANGU BORA KULA MCHICHA.
 
hicho kiwanda kipo sehemu gani muongo we uwezo wa kusaidia hata ndugu zako wanao kuzunguka huna anae saidia unamchukia unakili kwe ww kama sio ushenzi nn
 
Bora muarabu anachuki za wazi .ila sisi waswahili unapigana vita na ndugu wa damu kwa uchawi
kabisa mfano huyu alie andika hapa yeye hapo alipo uwezo wa kuwasaidia ndugu zake hata majirani zake hana ajabu anamchukia anae saidia watu ukafiri ni ugonjwa mbaya sana tiba yake ni kusilimu tu
 
KAENI MBALI NA NYAMA ZA WAARABU, WENGI WAO WANAFANYA MAKAFARA NA MATAMBIKO NDO WANAGAWA

KUNA KIWANDA BAADA YA KUCHINJA DAMU YOTR WANAMWAGIA KWENYE ZILE MASHINE ZAO KWA KUZIZUNGUKA KISHA NYAMA WANAPEWA WAFANYAKAZI NAO WANAENDA KULA.

TUPUNGUZE NJAA NDUGU ZANGU BORA KULA MCHICHA.

Kuna tajir mmoja hapa dar anatoaga kafara ya watu kwenye kiwanda chake hii kila siku lazima mfanyakaz lazima apate ajali kulingana na nyota yake

Utasikia huyu mashine imeenda na mkono huyu mwingine kidole mwingine gari la kiwanda lilimzoa pale njee
 
ulijuaje kuwa ni kafara ajuae mwanga nae mwanga afadhari huyu muarabu achawi wake anaufanyia huko kiwandani kwake kama ni kweli lakini kuliko misukule iliojazana makanisani kwenu kila mchungaji lazima hawe mchawi nenda mbeya iringa sumbawanga hata awa wenye majina makubwa wanao miliki hela tembea uone acha ushamba
 
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.

Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.

Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.

Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?

Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?

Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!

Nawasilisha akina nani, msije na hasira.

Wanatoa sadaka nyie kuleni hakuna tatizo
 
ulijuaje kuwa ni kafara ajuae mwanga nae mwanga afadhari huyu muarabu achawi wake anaufanyia huko kiwandani kwake kama ni kweli lakini kuliko misukule iliojazana makanisani kwenu kila mchungaji lazima hawe mchawi nenda mbeya iringa sumbawanga hata awa wenye majina makubwa wanao miliki hela tembea uone acha ushamba

[emoji23][emoji23][emoji23] mbona ninyi mnafuga majini huko msikitini na mpaka mna wapa waumini wenu asa wakike kwa kisingizio kila mtu ety ana jini wake khaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona ninyi mnafuga majini huko msikitini na mpaka mna wapa waumini wenu asa wakike kwa kisingizio kila mtu ety ana jini wake khaa [emoji23][emoji23][emoji23]
kama unasema kweli hebu tuwekee picha ya hilo jini tulione na huo msikiti na utaje uko sehemu gani uchawi wa wachungaji sio siri tene ingio goolg utapata mengi kuhusu makani na wachungaji wanako chukulia uchawi huo
 
it's a ritual among arabs, no free meal. nyuma ya pazia kuna mambo mengi yanafanyika kuhusiana na hizo nyama wanazogawa.

waswahili na njaa zenu huwa hata hamjiulizi,mnapokea tu na kwenda kula na familia zenu.

kuna tajiri mmoja maarafu sana hapa tz(muarabu), kugawa nyama kwa wafanyakazi wake ni moja ya kafara zake. baadhi huwa hawapokei.
Umepangilia maneno vizuri kama ni point kumbe ushuzi
Kuchinja kwa muumini ni ibada kama ibada nyingine alafu uislam misingi yake ni kugawa na kupeana sio uchoyo ndo mana mnatoaga meno ikifika eid na ramadhan muda wa ftar wengine hadi suhoor (daku) mnaamka na tunakula ote
 
kama unasema kweli hebu tuwekee picha ya hilo jini tulione na huo msikiti na utaje uko sehemu gani uchawi wa wachungaji sio siri tene ingio goolg utapata mengi kuhusu makani na wachungaji wanako chukulia uchawi huo

[emoji23][emoji23][emoji23] unajisaulisha sana shekhee sharifu alikuwa anafanya nini?
 
Mimi ni mkristo tena mkatoliki kiukweli waislamu ni wath wakarimu sana wenye utu na upendo japo mafundisho yao yanamkanganyiko sehemu flani waislamu wengi wenye vipato vikubwa wameweka mabomba ya maji nje ili watu wachote bure bila kugharamia chochote ata misikitini ila makanisa mengi siyo sehemu ya kurudisha kwa jamii wao wanapokea tu ila si kutoa na ikitokea tatizo kidogo wanalirudisha kwa waumini, makanisa mengi yana falsafa za kibepari kuliko ujamaa maanaa ujamaa umebeba utu,huruma na upendoo
Huko uswahili miskiti karibia yote watu wanachota maji bure , matajiri wa kiisalmu wengi huwa wanatoa sadaka kama hivo.

Sasa nakuuliza swali kanisa linarudisha nn kwa jamii zaidi ya kupokea?
 
wewe hapo ulipo roho ina kuuma tu kanisani kwako hakuna msaada wowote hata kama unakata roho misaada yote ya mchungaji tu tangu lini masikini kama wewe umchagia gwajima tajiri na mbunge ukafiri ni zaidi ya ugonjwa

Kwasababu ninyi sadaka zenu ijumaa ni shilingi mia saba wivu unawauma sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona ninyi mnafuga majini huko msikitini na mpaka mna wapa waumini wenu asa wakike kwa kisingizio kila mtu ety ana jini wake khaa [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji28][emoji28][emoji28]amepandisha makata… jini wake mtulizeni [emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu nyie
 
[emoji28][emoji28][emoji28]amepandisha makata… jini wake mtulizeni [emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu nyie

[emoji23][emoji23][emoji23] af majini yao magumu sana kusikia [emoji23][emoji23][emoji23] ona wanawake wazuri wana majini kichwani waaarabu wamewaletea majini kisa utajiri hakuna cha utajiri wala nini wanaishia kununua kazu za 3000 pale kariakoo
 
Back
Top Bottom