Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.

Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.

Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.

Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?

Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?

Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!

Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
Nashauri serikali ichukue bila woga hatua kusitisha tabia kama hizi. Matokeo ya kuwapa bwerere wananchi ni kuwafanya tegemezi na kuwasujudia hao waarabu. Ukichunguza utaona hao waarabu wanajitwalia tu uchumi wa wananchi bila hata ushindani. Ardhi, mazao, masoko etc etc.
Kila lenye kuzorotesha juhudi za kuwainua raia zetu toka unyonge tulipige vita. Mtu anakupa ubwabwa na nyama hapo pembeni kwenye ardhi yenu ya asili anachimba madini au ananunua madini kwa bei bure huku nyinyi mnabaki na dhiki ya milele.
 
Idadi ya mifugo inayochinjwa sio tatizo maana inatokana na uhitaji. Linhekuepo tatizo kama ungeelezea NAMNA wanavyochinja kutokana na imani yao.
Unaposema unashangaa wakitoa chakula na kitoweo kwa watu hujui kama wamekidhi hitaji lamsingi la binaadam?
Ukisema bora mtu apewe mbegu ya matunda kuliko matunda unamaanisha watu wapewe mifugo wakafuge na wapewe mpunga wakalime badala ya mchele? Au ulimaanisha nini?
Wapo wanaoleta nguo na viatu wala hutachagua rangi uipendayo. Utapewa sabuni na mafuta hutodai chumvi.
Utapewa condom bure hutadai shuka wala hela ya kuhonga
Utapewa chandarua wala hutodai kitanda na godoro
Wapo wanaotoa fedha wala hawatakutuma ukalete risiti za manunuzi nk nk nk
Maoni yangu nikwamba waache wanaotoa sadaka watoe ilimradi hawabagui wala kunyanyasa watu. Mitazamo yakidini isitusumbue
 
Nashauri serikali ichukue bila woga hatua kusitisha tabia kama hizi. Matokeo ya kuwapa bwerere wananchi ni kuwafanya tegemezi na kuwasujudia hao waarabu. Ukichunguza utaona hao waarabu wanajitwalia tu uchumi wa wananchi bila hata ushindani. Ardhi, mazao, masoko etc etc.
Kila lenye kuzorotesha juhudi za kuwainua raia zetu toka unyonge tulipige vita. Mtu anakupa ubwabwa na nyama hapo pembeni kwenye ardhi yenu ya asili anachimba madini au ananunua madini kwa bei bure huku nyinyi mnabaki na dhiki ya milele.
Mbona hata serikali inatoa msaada wa vyakula kwa wahitaji?
Acha wenye uwezo wasaidie wanaohitaji
 
Nashauri serikali ichukue bila woga hatua kusitisha tabia kama hizi. Matokeo ya kuwapa bwerere wananchi ni kuwafanya tegemezi na kuwasujudia hao waarabu. Ukichunguza utaona hao waarabu wanajitwalia tu uchumi wa wananchi bila hata ushindani. Ardhi, mazao, masoko etc etc.
Kila lenye kuzorotesha juhudi za kuwainua raia zetu toka unyonge tulipige vita. Mtu anakupa ubwabwa na nyama hapo pembeni kwenye ardhi yenu ya asili anachimba madini au ananunua madini kwa bei bure huku nyinyi mnabaki na dhiki ya milele.
Umelazimishwa kwenda kuchukuwa?
Je walikualika kwa kadi?

Mzigo U kichwani ,KWAPA LATOKEANI JASHO????
 
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.

Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.

Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.

Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?

Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?

Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!

Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
Wanalisha misukule yao.
 
kavae dera suluali sio vazi lako jama umeliona kwanini usiwaulize wanaogawa?unaleta umalaya wako hapa
 
Ukiweza kunipa shule iliyojengwa na Waarabu enzi wakupokuja Africa kabla ya ukolon, ntakuambia kwanini wanatolea kafara zao huku Africa na kurekodi video na kutuma huko kwao

Yaan mfano nilikuwa Arusha miez 3 iliyopita, sio vijijin, kila ijumaa wanachinja si Chini ya kondoo 300 kwa misikiti tofauti, kafara za hatar, kuna siku wamama wamepigana mpaka wakajeruiana kisa wananyang'anyana nyama
 
Back
Top Bottom