Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
Mimi huwa napokea simu zote zinazoingia nadhani inachangiwa pia na nature ya kazi yangu lakini huwa sipendi usumbufu. Kuna wale watu ambao kukupigia kutwa mara 3 kwa siku kama dozi ya malaria kwao ni kawaida na hakuna cha maana zaidi ya maneno na chokochoko za kijinga.
Mtu anakupgia simu mara mbili haipokelewi lakini bado anakomaa kupiga ni usumbufu huo, binafsi nikipiga simu mara moja isipopokelewa sipigi tena akikuta miskolo yangu apige/asipige sijali hata kama nakudai siwezi tumia new namba kukutafta kama hupokei kwa namba yangu iliyozoeleka.