Tabia ya kutopokea namba ngeni/namba mpya

ukitaka kunikamata fasta nipigie kwa namba ngeni. na hivyo ajira sina bas ntahangaika sana kufahamu kwanini umenipigia.

Mambwiga yote yako blackList huko sina habari nayo
 
Technology zipo why mtu uhangaike?
Caller id app inasaidia kujua Nani anakupigia..
Utajua Tu hii nipokee au hii sipokei
bado majina yatakuwa mageni boss

simu ni simu tu kama ni usalama wakikutaka wanakudaka kweupe tu
 
Watu ambao hawapend kupokea cm mpya ni watu ambao sio wakweli kwenye maisha yao. Hawapend kusema ukweli.
Mimi kwa mfano ukinipigia cm ukiniomba hela kama cn nakuambia cna na wala ckuahid chochote. Ucwe na maneno mengi ni au huna au njoo uchukue. Mwisho.pili jitahd ucwe honest sana kwa dunia coz dunia haitakaa iwe honest kwako kila kitu mama inavyosema Biblia kuwa na kias na kila kitu. Maneno machache utaepuka vibom vyingi. Ukiongea sana unatengeneza ukaribu wa kuingilika. Ucwaamini binadam maana wanabadilika kutokana na mazingira. Yule mtu muaminifu wakat wa kikwete sasa hivi ni tapeli coz life limebana so. Ucfikie mahali uanze kuikimbia hadi cm kuwa na principal flan watu wakikujua hivyo watakuchukulia hivyo na ndio itakuwa pona yako.
 
Mimi namba yoyote napokea. Ikiwa ngeni hata nikikuta missed call lazima niipige.
 
Masikini jeuriii
sahihi hasa wanawake, kwa wanaume tunajua sababu ni madeni,KE moja juzi kakosa kazi hivhivi tulimpigia mpaka mara4 hakupokea kisa namba ngeni baadaye tukampigia ndugu yake wa karibu akasema eh kweli alisema yeye hapokeagi namba ngeni
 
Kwenye maisha kila mtu kajiwekea principles zake na utaratibu wa Maisha.. Ni sahihi sana lakini Kuna vingine vinahitaji Utashi wa kibinadamu kung'amua Hasara na Faida zake.

Kuna watu wamejiwekea utaratibu kwamba Hata iweje, Basi Namba ngeni itapiga sana na kamwe hatopokea.. Sijui ni madeni au basi tu hataki lakini ndo alivyoniwekea.. Hii iko pande zote kwa Baadhi ya wanaume na Wanawake.. Wanawake wengi wanasema wao huepuka Usumbufu kwani mara nyingi huwa ni wanaume wakware wanaotaka penzi lao.

Dhana hii kwa upande mmoja ni sahihi.. Lakini Je, huoni haja ya kumsikia anayekupigia ni nani kabla huja ignore? Na unakuta wewe ni mfanyabishara, mfanyakazi na pengine Mtafutaji wa kazi ume apply huko na huko.. Sasa umepigiwa simu ya interview na hupokei unataka uje kumlaum nani?

Juzi Mtu wangu wa karibu Kapigiwa sana simu Kwa namba mpya na hakuipokea maksudi kabisa zaidi ya mara nne.. Huku akibetua mdomo "Wanaume bana huyu nae anataka kunisumbua tu" Lakini baadae kupitia Namba hyo hiyo akatumiwa Msg Kwamba Kaka yake kafariki kwa Ajali.. Ndo akaanza kutoa vilio kama punda mwenye Njaa

Wakati mwingine tuangalie misimamo yetu kama ina tija kwenye Maisha.
Mimi nimeset simu yangu isipokee namba ngeni.
 
Nimepokea simu nyingi tu za kuniita kwenye interview. Nyingine unapigiwa kama leo hivi interview ni kesho yake asubuhi. Nyingine za kunijulisha kuwa nimepewa kazi baada ya interview. Nyingi tu. Sasa ningejifanya kuwa sipokei namba nisiyoijua?
Kama wewe ni muuza machungwa, pengine you have nothing to lose.
Muuza machungwa unamchukuliaje broo ?
 
Soma comments zote, zilivyoanza mpka mwisho wake. Acha kudandia treni kwa mbele. Utaumia. Kama kazi yako haina usaili, sawa, acha kupokea simu, hauna cha kupoteza. Sisi za kwetu zinategemea interview. Ni muhimu kupokea simu.
Sio lazima kuwe na usaili chief
 
Back
Top Bottom