Tabia ya kuaga maiti ni ya hatari sana

Tabia ya kuaga maiti ni ya hatari sana

2015 ndo ilikua mara ya kwanza kuaga na kuona maiti..
Nilienda kumuaga Headmaster wetu aligongwa na gari akafariki.
Alibadirika sura ikwa nyeusi Hafu imevimba inatoa jasho.

Kidogo nianguke kwa uoga mpaka leo sura yake naiona..

Siagi tena mm labda ndugu.
Lile sio jasho mkuu bali ubaridi wa majokofu ya chumba cha kuhifadhia maiti.
Kama vile kitu ukitoa kwenye jokofu kina anza kuwa na majimaji kwa nje.
 
Nadhani hii ni moja ya sababu Waislamu wanaruhusu ndugu wa karibu tu kumuaga marehemu maana hawa hawawezi “kumsimanga” marehemu.

Kuna Jambo wengi wanafanyaga baada ya kuaga Maiti wananza Kuisimanga, Mara hivi, Mara vile hii si sawa hata kidogo kwasababu tumefunzwa kutoizungumzia vibaya Maiti kwani hata ukimzushia jambo hana uwezo wa kujitetea tena!
 
Em waombe Radhi walimu wako kwanza waliokufundishaa kuandika hiyo mada hapo!! BTW upo kidini zaidi..si lazima uende kuaga.acha watu waendeleze tamaduni na taratibu zao si lazima kuzifuata kama haikuhusu!!
 
Ni
Nadhani hii ni moja ya sababu Waislamu wanaruhusu ndugu wa karibu tu kumuaga marehemu maana hawa hawawezi “kumsimanga” marehemu.
Ni kweli Mkuu, wanasema aibu za Maiti anaepaswa kuona ni Ndugu wa Damu tu, nadhani ni kuepusha kadhia kama hizo..,
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unapoxungumzia kuhusu roho na ulimwengu mwingine umeandika kwa uhakika km vile una hakika asilimia mia. Na mimi nikikuambia roho sio halisi bali imagination tu utasemaje. Aristotle anatuambia the soul and the body are a substantial unit. There cannot be a body without a soul and vice versa. Ni imani potofu kuamini roho na mwili ni separate entities. Kwamba inauacha mwili na kwenda mahali as an independent "thing".
 
Binadamu anapokufa mwili wake huachana na roho,(nafsi /uhai) mwili huo hubaki kasha tupu lisilo na chembe yoyote ya uzima.

Na roho yake huenda sehemu inayostahili kulingana na matendo yake duniani.

Roho ndo uzima, roho ndo nafsi kamili, roho ndo uzima wenyewe. Kifupi ni kwamba binadamu hufa mwili ilihali roho ikiendelea kuishi katika ulimwengu mwingine wa roho ambao huwezi kuuona kwa macho ya damu na nyama.

Binadamu akifa anatisha, ukiambiwa ulale chumba kimoja na maiti huwezi, Hata Kama ni maiti ya mtoto bado utaogopa tu .

Sura ya maiti hukaa kwenye kumbukumbu ya ubongo kwa muda mrefu sana, kwa mtu yoyote atakayeikodolea macho maiti usoni.

Tabia ya kuaga maiti haina mashiko na sababu yoyote ile.
Kuaga maiti ni kuisanifu maiti, unaagaje kitu kisicho na uhai? Ni kipi kinakusaidia kumwangalia mfu?

Napenda sana utaratibu wa ndugu zangu waislamu, wao huiandaa maiti na kwenda kuzika basi, kuliko tabia ya mabwana wale wanaopenda kupanga foleni ili kuaga maiti msibani, foleni kubwa utadhani walimu wanachukua mshahara kwenye ATM ya NMB.

Mwisho wake huwa ni mayowe, watu kuzimia na kuanguka hovyo msibani.

Sura ya marehemu unaitakia nini? Unamuaga marehemu ili iweje?
kama unataka hivo basi hunataka kuhua ajira watu wa mwochari
 
Kilichowazuia kwenda shule ndo kinawasumbua nyie watu ndo maana daily mnalia lia tu na dini za watu kama ww hupendi kuaga acha wanaopenda waage au ka vipi pambana na hali yako.
 
Binadamu anapokufa mwili wake huachana na roho,(nafsi /uhai) mwili huo hubaki kasha tupu lisilo na chembe yoyote ya uzima.

Na roho yake huenda sehemu inayostahili kulingana na matendo yake duniani.

Roho ndo uzima, roho ndo nafsi kamili, roho ndo uzima wenyewe. Kifupi ni kwamba binadamu hufa mwili ilihali roho ikiendelea kuishi katika ulimwengu mwingine wa roho ambao huwezi kuuona kwa macho ya damu na nyama.

Binadamu akifa anatisha, ukiambiwa ulale chumba kimoja na maiti huwezi, Hata Kama ni maiti ya mtoto bado utaogopa tu .

Sura ya maiti hukaa kwenye kumbukumbu ya ubongo kwa muda mrefu sana, kwa mtu yoyote atakayeikodolea macho maiti usoni.

Tabia ya kuaga maiti haina mashiko na sababu yoyote ile.
Kuaga maiti ni kuisanifu maiti, unaagaje kitu kisicho na uhai? Ni kipi kinakusaidia kumwangalia mfu?

Napenda sana utaratibu wa ndugu zangu waislamu, wao huiandaa maiti na kwenda kuzika basi, kuliko tabia ya mabwana wale wanaopenda kupanga foleni ili kuaga maiti msibani, foleni kubwa utadhani walimu wanachukua mshahara kwenye ATM ya NMB.

Mwisho wake huwa ni mayowe, watu kuzimia na kuanguka hovyo msibani.

Sura ya marehemu unaitakia nini? Unamuaga marehemu ili iweje?
unajua dini uja na tamaduni.uislamu hasili yake ilipotokea ni saudi arabia na joto kali kwa hiyo maiti haiwezi mudu kusubiri kuaribika ndo maana ukifa uko na desturi zilizo jengeka labda teknolojia ya sasa kuwa na majokofu .ukifa huko kuzika bila kusubilia kama nilivo kueleza hapo juu.
kuna siku nili muuliza mtu sisi kusini mwa jangwa la sahara hatuna ngamia mbona tuna ruhusiwa kula kule msikitini kihekima ni dini uja na utamaduni hilipo tokea
 
Sisi kwetu Thailand mtu akifa tunaweza kaa na maiti hata miaka mitatu kabla ya kuizika na kila mwaka kuna sherehe ya kuwafukua marehemu na kuwavisha nguo mpya
Sure niliiona hiyo kitu ikitendeka. Upo sehemu gani mkuu.
 
Sure niliiona hiyo kitu ikitendeka. Upo sehemu gani mkuu.
Hahaha mkuu niko huku mashambani nakimbizana na ngedere hapa nilikuwa nanogesha story, ila ni kweli kuba kabila flani kule Indonesia ndilo lina practise hii kitu
 
Me kuna Best anguu kabisaa alifarikiii sikuaga yani hadi Leo huwa naota jamaa hajafaa yanii..!! Siaminigi hadi leo..
 
Huyu mleta mada sijui kala nini leo,maana kanichafua kwelikweli.Unashindwa kuogopa mtu aliye hai ambaye anaweza kukudhuru unakuja na story za kuogopa mtu aliyepumzika(kufa).Kajipange upya.
 
Back
Top Bottom