Hujawahi fiwa na ndugu au rafiki wewe, halafu wakati anafariki haukwepo. Nakwambia akizikwa bila kuona maiti yake itakuchukua muda sana kuamini aliyezikwa ni yeye kweli au utani tu. Kuaga maiti humpunguzia mfiwa maumivu ya kuondokewa na mpendwa, huongeza imani kwamba fulani kweli ameondoka , na kuondoa kujiulizauliza . Na tena watototo wadogo usipowaambia ukweli na kuwaonyesha kila jambo linalotendeka msibani, waone maiti kwenye jeneza na uwaeleze what is going. Usipo fanya hivyo watakuuliza daily where is fulani na ukiwaeleza amekufa hawatakubali. so kuaga maiti ni afya ya akili na roho.