Sisi kwetu Thailand mtu akifa tunaweza kaa na maiti hata miaka mitatu kabla ya kuizika na kila mwaka kuna sherehe ya kuwafukua marehemu na kuwavisha nguo mpya
Kama siyo Thailand basi ni Indonesia na siyo nchi nzima ni kabila flani ila as far as I remember ni thailand maana indonesia zaidi ya 95% ni waislam na wako strict na sheria za dini.I have read this somewhere..
Umetushika kidogo Hiyo kufukua maiti na kuzivisha nguo na kufanya sherehe sio Thailand..
Ila nchi nimesahau..
Day of the dead sio Mexico kweliKama siyo Thailand basi ni Indonesia na siyo nchi nzima ni kabila flani ila as far as I remember ni thailand maana indonesia zaidi ya 95% ni waislam na wako strict na sheria za dini.
Na Brazil wana siku wanaiita Day of the dead
Yes Mkuu you're right ni Mexico siyo Brazil wa Brazil ile yao ni Carnival tuDay of the dead sio Mexico kweli
The Day of the Dead in MexicoYes Mkuu you're right ni Mexico siyo Brazil wa Brazil ile yao ni Carnival tu
Hii ilikua BBC Swahili mkuu, na kama sikosei nchi ilikua Indonesia kitu kama hicho.I have read this somewhere..
Umetushika kidogo Hiyo kufukua maiti na kuzivisha nguo na kufanya sherehe sio Thailand..
Ila nchi nimesahau..
unajua maana ya rambi rambi? anzia hapo kwanzaMANASWARA WANAFANYA HIVO ILI WAPATE HELA ZA TUNZO WAO WANAIPAMBA LUGHA NAKUIITA RAMBIRAMBI
HUWEZI MFANYA NDUNGUYO MAITI AKAWA MNADA MBELE YA KADAMNASI KILA ANAEPITA AMUONE,,Atiii KISA WANAMUAGA,,BADO ANAVISHWA HADI SUTI KAMA NI WA KIKE ANAVISHWA VELI
MMMHHHH,,,,,kumfanya mwenzio ATM inataka MOYO SANA[emoji1321]
Haya wenye POVU KARIBUNI,,lakini UKWELI NDIO HUO[emoji1321]
Maiti haitoi jasho, kile unacho ona kama jasho ni ule ubaridi au unyevu nyevu wa barafu anapokuwa kahifadhiwa chumba cha kuhifadhia maiti katika friji za maiti.
Uko Correct Some where Nilisoma TooI have read this somewhere..
Umetushika kidogo Hiyo kufukua maiti na kuzivisha nguo na kufanya sherehe sio Thailand..
Ila nchi nimesahau..
Kama siyo Thailand basi ni Indonesia na siyo nchi nzima ni kabila flani ila as far as I remember ni thailand maana indonesia zaidi ya 95% ni waislam na wako strict na sheria za dini.
Na Brazil wana siku wanaiita Day of the dead
Hii ilikua BBC Swahili mkuu, na kama sikosei nchi ilikua Indonesia kitu kama hicho.
Uko Correct Some where Nilisoma Too