Tabia ya kuaga maiti ni ya hatari sana

Tabia ya kuaga maiti ni ya hatari sana

Hili zoezi mie huwa linanipa wakati mgumu sana na mara nyingi huingia huingia mitini.
Hahahhahh nawe umo kwenye hili kundi
Nacheka kufa.....
Usiilazimishe roho wakati ukifika hutaogopa
Nimefiwa mara kadhaa, nami nilikuwa mwoga sana. Unajua ni ile ikifika usiku unajifunika shuka blanketi mpaka unakosa pumzi mwili unatota jasho kwa hofu marehemu anakuchungulia hahahhhhh utoto buana
Siku hizi nimekuwa mkomavu kiasi fulani hata kuvalisha mwili wa mpendwa naweza lakini bado inahitaji ujasiri sio zoezi jepesi ni vile huna namna. Kufiwa kubaya sana kunakufanya ufanye vitu ambavyo hukutarajia kufanya. Mungu atawapa ujasiri kwa wakati wake
***Ila nimechekaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unachokiogopa kinakusubiria na wewe, take it easy maisha sio magumu kiivyo
 
Acha kabisa aisee ni muoga sana.Ndugu yangu alinihadithia zoezi la kumuweka marehemu vizuri mara tu baada ya kufariki ikiwemo kumvua nguo. Alikuwa hawezi kumaliza bila kuanza kulia kwa majonzi makubwa (du hadi machozi yamelenga kwa kumkumbuka marehemu) na ilikuwa ni mara yake ya kwanza. Yakikukuta hakuna jinsi bali kufanya yale yanayohusu kwa marehemu. Hongera kwa kuwa jasiri.

Hahahhahh nawe umo kwenye hili kundi
Nacheka kufa.....
Usiilazimishe roho wakati ukifika hutaogopa
Nimefiwa mara kadhaa, nami nilikuwa mwoga sana. Unajua ni ile ikifika usiku unajifunika shuka blanketi mpaka unakosa pumzi mwili unatota jasho kwa hofu marehemu anakuchungulia hahahhhhh utoto buana
Siku hizi nimekuwa mkomavu kiasi fulani hata kuvalisha mwili wa mpendwa naweza lakini bado inahitaji ujasiri sio zoezi jepesi ni vile huna namna. Kufiwa kubaya sana kunakufanya ufanye vitu ambavyo hukutarajia kufanya. Mungu atawapa ujasiri kwa wakati wake
***Ila nimechekaa
 
Binadamu anapokufa mwili wake huachana na roho,(nafsi /uhai) mwili huo hubaki kasha tupu lisilo na chembe yoyote ya uzima.

Na roho yake huenda sehemu inayostahili kulingana na matendo yake duniani.

Roho ndo uzima, roho ndo nafsi kamili, roho ndo uzima wenyewe. Kifupi ni kwamba binadamu hufa mwili ilihali roho ikiendelea kuishi katika ulimwengu mwingine wa roho ambao huwezi kuuona kwa macho ya damu na nyama.

Binadamu akifa anatisha, ukiambiwa ulale chumba kimoja na maiti huwezi, Hata Kama ni maiti ya mtoto bado utaogopa tu .

Sura ya maiti hukaa kwenye kumbukumbu ya ubongo kwa muda mrefu sana, kwa mtu yoyote atakayeikodolea macho maiti usoni.

Tabia ya kuaga maiti haina mashiko na sababu yoyote ile.
Kuaga maiti ni kuisanifu maiti, unaagaje kitu kisicho na uhai? Ni kipi kinakusaidia kumwangalia mfu?

Napenda sana utaratibu wa ndugu zangu waislamu, wao huiandaa maiti na kwenda kuzika basi, kuliko tabia ya mabwana wale wanaopenda kupanga foleni ili kuaga maiti msibani, foleni kubwa utadhani walimu wanachukua mshahara kwenye ATM ya NMB.

Mwisho wake huwa ni mayowe, watu kuzimia na kuanguka hovyo msibani.

Sura ya marehemu unaitakia nini? Unamuaga marehemu ili iweje?

Mbona hujaweka hoja yoyote umeandika maoni yako lakini inaonesha hayana mashiko
 
Sikuhizi wachungaji wameboresha, maana wameamua kuweka na bakuli ya kuomba sadaka.

Hahahahaha.............
Njaa mbaya sana.
 
Waislamu gani ambao huaga maiti hivyo???? Mwenyezi mungu ametuamuru kuwa mtu anapofariki astiriwe na ndiyo maana hata wakati wa kuosha maiti inataratibu zake. Kama kuaga ni lazima kwanza awe ameshavalishwa sanda na amefunikwa kabisa.
Hebu taja hizo taratibu..........
 
Nadhani hoja kuu ipo katika kusitiri aibu maiti. Kifo kina mambo mengi, wengine wakifariki huwa wanavimba tumbo au uso, wengine hupinda midomo au vyovyote vile Kwa hiyo ni vizuri aibu ya maiti ikabaki kwa ndugu na familia tu na sio kila mtu aione ikisha akatangaze aibu hizo kwa watu wengine.
Tatizo linakuja pale ambapo familia inaruhusu watu wauage mwili hata kama una "aibu" fulani fulani kutokana na namna mauti yalivyomkumba inakuwa haipendezi na ni kuidhalilisha maiti.
Maiti ni km mzoga tu sasa uifichie aibu itasaidia nini
Aliyekufa amekufa
 
Mtu anayesoma maandiko kutokea kulia kwenda kushoto na yule anayesoma kutokea kushoto kwenda kulia, IQ zao hutofautiana sana. Na kwa hali hiyo hata arguments zao zinatofauti kubwa. Kwa comments hizi nilizozisoma, ni dhahiri ni rahisi kuona nani akisoma maandishi anaanzia kulia kuja kushoto na ndiye aliyeanzisha uzi. IQ 0
 
Mkuu kiyahudi wanaandika kutoka kulia kwenda kushoto na wana IQ kubwa sana kuliko wote

Wayahudi wanaanzia kuandika kutoka kulia kwenda kushoto

Na dini ya kiyahudi hakuna kuaga maiti

Kwa kuwa mm naamini wayahudi wana IQ kubwa argument zao zipo njema kuliko wanaoandika kutoka kushoto kwenda kulia
 
Waislamu gani ambao huaga maiti hivyo???? Mwenyezi mungu ametuamuru kuwa mtu anapofariki astiriwe na ndiyo maana hata wakati wa kuosha maiti inataratibu zake. Kama kuaga ni lazima kwanza awe ameshavalishwa sanda na amefunikwa kabisa.
Nimeshaaga sana maiti za ndugu zangu wa kiislam
 
Waislam hawaagi Maiti (Marehemu) kinachofanyika ni kutoa utambulisho wandugu au watoto wa marehemu endapo wakati wa tukio la mauti hawajakuwepo kinachofanyika ni yule mtu wa karibu aliyekuwepo wakati umati unamfika kuwaeleza ndugu/watoto wa marehe kwamba huyo ndiye baba yenu au ndugu yenu tena wakati mwingne hutoa hata story fupi ya ugonjwa mpaka umauti kumfika
Huwa tunaaga ndugu wa karibu
 
Na kuzika na kaubabo kamoja na sanda badala ya jeneza kusha kufukia na majani
Hii tabia ya watu wale inanikera si mngezikia tu jeneza ?
Kwani unafikiri lile jeneza la mbao atakaa nalo milele halitooza, au yeye hatooza?
 
Sura ya maiti hukaa kwenye kumbukumbu ya ubongo kwa muda mrefu sana, kwa mtu yoyote atakayeikodolea macho maiti usoni.
?

Umeuliza swali wakati jibu unalo!!!
Watu waliofiwa wanatamani wakae na kumbukumbu za ndugu zao milele... Na wengine hawajaonana na marehemu miaka ata miwili, ni vizuri kumuona mara ya mwisho ili kufanya kumbukumbu iwe fresh zaidi!
Na kisahihi hatuuagi mwili!
 
2015 ndo ilikua mara ya kwanza kuaga na kuona maiti..
Nilienda kumuaga Headmaster wetu aligongwa na gari akafariki.
Alibadirika sura ikwa nyeusi Hafu imevimba inatoa jasho.

Kidogo nianguke kwa uoga mpaka leo sura yake naiona..

Siagi tena mm labda ndugu.
Nilifiwa na rafiki ya gu kwa ajali... Sikwenda kuaga kwa sababu ya uwoga!! Hadi leo najutia maamuzi yale! Nilikua hadithiwa tu na mama jinsi alivyobadirika, yaani ile picha ya kuahadithiwa ndo ipo kichwani... Natamani ningeenda kumuaga...
 
MANASWARA WANAFANYA HIVO ILI WAPATE HELA ZA TUNZO WAO WANAIPAMBA LUGHA NAKUIITA RAMBIRAMBI
HUWEZI MFANYA NDUNGUYO MAITI AKAWA MNADA MBELE YA KADAMNASI KILA ANAEPITA AMUONE,,Atiii KISA WANAMUAGA,,BADO ANAVISHWA HADI SUTI KAMA NI WA KIKE ANAVISHWA VELI
MMMHHHH,,,,,kumfanya mwenzio ATM inataka MOYO SANA[emoji1321]

Haya wenye POVU KARIBUNI,,lakini UKWELI NDIO HUO[emoji1321]
Usilolijua ni kama usiku wa giza!
Yaani mtu afiwe na mwanae au mzazi wake, huo mda wa kufikiria ATM anaupata wapi? Zile helq ni kama mchango wa harusi, zinasaidia kuendesha msiba... Kama Kulisha watu n.k
 
Hata mtume Muhammad waumini wake walimuaga kabla ya kumzika, sasa ubaya uko wapi? Kama huwezi kaa pembeni.
 
Binadamu anapokufa mwili wake huachana na roho,(nafsi /uhai) mwili huo hubaki kasha tupu lisilo na chembe yoyote ya uzima.

Na roho yake huenda sehemu inayostahili kulingana na matendo yake duniani.

Roho ndo uzima, roho ndo nafsi kamili, roho ndo uzima wenyewe. Kifupi ni kwamba binadamu hufa mwili ilihali roho ikiendelea kuishi katika ulimwengu mwingine wa roho ambao huwezi kuuona kwa macho ya damu na nyama.

Binadamu akifa anatisha, ukiambiwa ulale chumba kimoja na maiti huwezi, Hata Kama ni maiti ya mtoto bado utaogopa tu .

Sura ya maiti hukaa kwenye kumbukumbu ya ubongo kwa muda mrefu sana, kwa mtu yoyote atakayeikodolea macho maiti usoni.

Tabia ya kuaga maiti haina mashiko na sababu yoyote ile.
Kuaga maiti ni kuisanifu maiti, unaagaje kitu kisicho na uhai? Ni kipi kinakusaidia kumwangalia mfu?

Napenda sana utaratibu wa ndugu zangu waislamu, wao huiandaa maiti na kwenda kuzika basi, kuliko tabia ya mabwana wale wanaopenda kupanga foleni ili kuaga maiti msibani, foleni kubwa utadhani walimu wanachukua mshahara kwenye ATM ya NMB.

Mwisho wake huwa ni mayowe, watu kuzimia na kuanguka hovyo msibani.

Sura ya marehemu unaitakia nini? Unamuaga marehemu ili iweje?
Ni kweli kabisa, nakubaliana na wewe, kwani swala hili la kuaga maiti kwa kweli sio zuri kama ulivyotoa sababu za msingi hapo juu, ila sasa tuwaachie Wazee na viongozi wa dini wafanye tafakuri juu ya jambo hili.
 
Back
Top Bottom