Tabia ya kuaga maiti ni ya hatari sana

Tabia ya kuaga maiti ni ya hatari sana

Afadhali umekwisha huyu hayawani. Ina maana wewe akifa mwanao utakimbia maiti yake? Kufa kupo tu na ni muhimu kutoa heshima kwa kuuaga mwili hata kama unatisha. Kumbuka huyo marehemu anaweza kuwa alikula ktk hali ngumu.sasa unapoogopa kwa kuepuka kuangalia mwili ww ni popoma. Ww pia utaondoka kwa hiyo jenga kuzoea maiti kwani hatuna ujanja lazima tufe.Iwapo wote watakuwa na akili yako hakuna atakayehudumia mwili, tutawakimbia kule mortuary eti kwa kuwa kumbukumbu haitaondoka kichwani..ondoa woga ww.
 
MANASWARA WANAFANYA HIVO ILI WAPATE HELA ZA TUNZO WAO WANAIPAMBA LUGHA NAKUIITA RAMBIRAMBI
HUWEZI MFANYA NDUNGUYO MAITI AKAWA MNADA MBELE YA KADAMNASI KILA ANAEPITA AMUONE,,Atiii KISA WANAMUAGA,,BADO ANAVISHWA HADI SUTI KAMA NI WA KIKE ANAVISHWA VELI
MMMHHHH,,,,,kumfanya mwenzio ATM inataka MOYO SANA[emoji1321]

Haya wenye POVU KARIBUNI,,lakini UKWELI NDIO HUO[emoji1321]
Aisee!
 
Sisi kwetu Thailand mtu akifa tunaweza kaa na maiti hata miaka mitatu kabla ya kuizika na kila mwaka kuna sherehe ya kuwafukua marehemu na kuwavisha nguo mpya
😀😀😀😀.....mkuu unasababisha nacheka mwenyewe saa hizi...Umenisahaulisha machungu yote walionipa Tanesco leo....
 
2015 ndo ilikua mara ya kwanza kuaga na kuona maiti..
Nilienda kumuaga Headmaster wetu aligongwa na gari akafariki.
Alibadirika sura ikwa nyeusi Hafu imevimba inatoa jasho.

Kidogo nianguke kwa uoga mpaka leo sura yake naiona..

Siagi tena mm labda ndugu.
Huyo alikua na hasira hakutaka kufa hivyo yale majasho aliyokuwa anatoka ni kujaribu kuamka kwake ila alishindwa
 
Hahaaaaa daaa watu mnamaneno sana..

Mungu amrehemu
Huyo alikua na hasira hakutaka kufa hivyo yale majasho aliyokuwa anatoka ni kujaribu kuamka kwake ila alishindwa
Alikua mzee wa kanisa na aligongwa na gari akitoka kanisani anaenda kwenye Pharmacy yake..
 
Binadamu anapokufa mwili wake huachana na roho,(nafsi /uhai) mwili huo hubaki kasha tupu lisilo na chembe yoyote ya uzima.

Na roho yake huenda sehemu inayostahili kulingana na matendo yake duniani.

Roho ndo uzima, roho ndo nafsi kamili, roho ndo uzima wenyewe. Kifupi ni kwamba binadamu hufa mwili ilihali roho ikiendelea kuishi katika ulimwengu mwingine wa roho ambao huwezi kuuona kwa macho ya damu na nyama.

Binadamu akifa anatisha, ukiambiwa ulale chumba kimoja na maiti huwezi, Hata Kama ni maiti ya mtoto bado utaogopa tu .

Sura ya maiti hukaa kwenye kumbukumbu ya ubongo kwa muda mrefu sana, kwa mtu yoyote atakayeikodolea macho maiti usoni.

Tabia ya kuaga maiti haina mashiko na sababu yoyote ile.
Kuaga maiti ni kuisanifu maiti, unaagaje kitu kisicho na uhai? Ni kipi kinakusaidia kumwangalia mfu?

Napenda sana utaratibu wa ndugu zangu waislamu, wao huiandaa maiti na kwenda kuzika basi, kuliko tabia ya mabwana wale wanaopenda kupanga foleni ili kuaga maiti msibani, foleni kubwa utadhani walimu wanachukua mshahara kwenye ATM ya NMB.

Mwisho wake huwa ni mayowe, watu kuzimia na kuanguka hovyo msibani.

Sura ya marehemu unaitakia nini? Unamuaga marehemu ili iweje?
una domo kabisa kama la maimuna t*ako gumu wa magomeni mapipa.

Ndugu zako waislam sio kuaga tu maiti bali wanaiosha maiti haswaa tena katika guduria kubwa mithili ya jaba la Dry cleaner, wanaipulizia na marashi ya karafuu na wanahakikisha haendi na ngama asilani.

Ukitaka nikufafanulie nini maana ya ngama nitakufafanulia.

Wabillah Tawfiq.
 
Mila, desturi, taratibu na tamaduni hazifanani......utapata tabu sana kufatilia mambo ya watu, unajiumiza bure....ukitoka hapo utakuja kula nyoka kubaya, konokono haliwi, budha wanaabudu sanamu.....Mungu atamuhukumu kila mtu kulingana na utashi wake
Huyu ndugu muislam ameisanifu Dini yake mwenyewe.

N.B Uislam sio dini.
Acha kusanifu Dini na desturi za watu
 
MANASWARA WANAFANYA HIVO ILI WAPATE HELA ZA TUNZO WAO WANAIPAMBA LUGHA NAKUIITA RAMBIRAMBI
HUWEZI MFANYA NDUNGUYO MAITI AKAWA MNADA MBELE YA KADAMNASI KILA ANAEPITA AMUONE,,Atiii KISA WANAMUAGA,,BADO ANAVISHWA HADI SUTI KAMA NI WA KIKE ANAVISHWA VELI
MMMHHHH,,,,,kumfanya mwenzio ATM inataka MOYO SANA[emoji1321]

Haya wenye POVU KARIBUNI,,lakini UKWELI NDIO HUO[emoji1321]
Athumani kono la pilau la manjano !

Ni kwa vipi utakuwa umemfanya kuwa mnada mbele ya kadamnasi?

Kwani katika kumwosha, kumkamua na kumpulizia marashi ni mnamuandaa kwenda club?

Karibu...!
 
Aaagh wakristu usharobaro mmezidisha mnoo kwenye dini tuwe wakweli aisee laaah!
Usharobaro waliozidisha wakristo kwenye dini ni upi?

Huo usharobaro unamdhuru vipi asiye Mkristo?

Huyo asiye Mkristo na akakereka na huo usharobaro kwanini tusiseme anawashwa na kiherehere?

Nijibu kinagaubaga ustaadhat.

Karibu.
 
Dah... hawa jamaa huwa wana reasoning capacity ndogo mnoo....
Nikisoma huu upupu.... najaribu kuwaza kichwa chako kina vitu gani... nakosa jibu

ndomana kila kukicha mnalia na mama ndalichako, kumbe vichwa vina kamasi.
Wewe umechelewa kuwafahamu Mkuu.
 
Waislamu hua wanaaga ila ni wanandugu wa karibu tu, tena mwili ukiwa ndani kama haujui ni vema kukaa kimya
Ni kweli kwa waislam ndugu, hasa wa karibu wanaweza kuaga marhum wao lakini pia sio lazima na Wala sio dhambi kutokufanya hivyo.
.
 
Binadamu anapokufa mwili wake huachana na roho,(nafsi /uhai) mwili huo hubaki kasha tupu lisilo na chembe yoyote ya uzima.

Na roho yake huenda sehemu inayostahili kulingana na matendo yake duniani.

Roho ndo uzima, roho ndo nafsi kamili, roho ndo uzima wenyewe. Kifupi ni kwamba binadamu hufa mwili ilihali roho ikiendelea kuishi katika ulimwengu mwingine wa roho ambao huwezi kuuona kwa macho ya damu na nyama.

Binadamu akifa anatisha, ukiambiwa ulale chumba kimoja na maiti huwezi, Hata Kama ni maiti ya mtoto bado utaogopa tu .

Sura ya maiti hukaa kwenye kumbukumbu ya ubongo kwa muda mrefu sana, kwa mtu yoyote atakayeikodolea macho maiti usoni.

Tabia ya kuaga maiti haina mashiko na sababu yoyote ile.
Kuaga maiti ni kuisanifu maiti, unaagaje kitu kisicho na uhai? Ni kipi kinakusaidia kumwangalia mfu?

Napenda sana utaratibu wa ndugu zangu waislamu, wao huiandaa maiti na kwenda kuzika basi, kuliko tabia ya mabwana wale wanaopenda kupanga foleni ili kuaga maiti msibani, foleni kubwa utadhani walimu wanachukua mshahara kwenye ATM ya NMB.

Mwisho wake huwa ni mayowe, watu kuzimia na kuanguka hovyo msibani.

Sura ya marehemu unaitakia nini? Unamuaga marehemu ili iweje?

Huo ni Mtazamo wako!
 
Back
Top Bottom