elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,760
Ni indonesia katika kisiwa kinaitwa Sulawesi mkuu ni me cross checkNimekumbuka Its mexico mkuu..Ni kakabila tu sio watu wote..
Ni indonesia katika kisiwa kinaitwa Sulawesi mkuu ni me cross checkNimekumbuka Its mexico mkuu..Ni kakabila tu sio watu wote..
Aaagh wakristu usharobaro mmezidisha mnoo kwenye dini tuwe wakweli aisee laaah!Acha kusanifu Dini na desturi za watu
Ni indonesia katika kisiwa kinaitwa Sulawesi mkuu ni me cross check
Kweli kabisaa unenelao, halafu kibaya zaidi wakishatoka kuaga waanza majungu, umemuona alivyobadilika,kawa mweusiii oooh mara ona mdomo haukufunga, oohh maneno kibao wanaisengenya maiti.Binadamu anapokufa mwili wake huachana na roho,(nafsi /uhai) mwili huo hubaki Kasha tupu lisilo na chembe yoyote ya uzima.
Na roho yake huenda sehemu inayostahili kulingana na matendo yake duniani.
Roho ndo uzima, roho ndo nafsi kamili, roho ndo uzima wenyewe.
Kifupi ni kwamba binadamu hufa mwili ilihali roho ikiendelea kuishi ktk ulimwengu mwingine wa roho ambao huwezi kuuona kwa macho ya damu na nyama.
Binadamu akifa anatisha, ukiambiwa ulale chumba kimoja na maiti huwezi, Hata Kama ni maiti ya mtoto bado utaogopa tu .
Sura ya maiti hukaa kwenye kumbukumbu ya ubongo kwa muda mrefu Sana,kwa mtu yoyote atakayeikodolea macho maiti usoni.
Tabia ya kuaga maiti haina mashiko na sababu yoyote ile.
Kuaga maiti ni kuisanifu maiti, unaagaje kitu kisicho na uhai? Ni kipi kinakusaidia kumwangalia mfu?
Napenda Sana utaratibu wa ndugu zangu waislamu, wao huiandaa maiti na kwenda kuzika basi, kuliko tabia ya mabwana wale wanaopenda kupanga foleni ili kuaga maiti msibani, foleni kubwa Utadhani walimu wanachukua mshahara kwenye ATM ya NMB.
Mwisho wake huwa ni mayowe, watu kuzimia na kuanguka hovyo msibani.
Sura ya marehemu unaitakia nini? Unamuaga marehemu ili iweje?
This Community in Sulawesi, Indonesia Keeps the Dead in Homes for Years | Inverseweka link mkuu But it sound ttue
Waislamu gani ambao huaga maiti hivyo???? Mwenyezi mungu ametuamuru kuwa mtu anapofariki astiriwe na ndiyo maana hata wakati wa kuosha maiti inataratibu zake. Kama kuaga ni lazima kwanza awe ameshavalishwa sanda na amefunikwa kabisa.Waislamu hua wanaaga ila ni wanandugu wa karibu tu, tena mwili ukiwa ndani kama haujui ni vema kukaa kimya
Dah... hawa jamaa huwa wana reasoning capacity ndogo mnoo....MANASWARA WANAFANYA HIVO ILI WAPATE HELA ZA TUNZO WAO WANAIPAMBA LUGHA NAKUIITA RAMBIRAMBI
HUWEZI MFANYA NDUNGUYO MAITI AKAWA MNADA MBELE YA KADAMNASI KILA ANAEPITA AMUONE,,Atiii KISA WANAMUAGA,,BADO ANAVISHWA HADI SUTI KAMA NI WA KIKE ANAVISHWA VELI
MMMHHHH,,,,,kumfanya mwenzio ATM inataka MOYO SANA[emoji1321]
Haya wenye POVU KARIBUNI,,lakini UKWELI NDIO HUO[emoji1321]
Cha ajabu na ninyi siku hizi mnaiga "usharobaro" wetu. Siku hizi na nyie mna Sendoff na Harusi zenu mnafanyia ukumbini.Aaagh wakristu usharobaro mmezidisha mnoo kwenye dini tuwe wakweli aisee laaah!
Mkuu hoja yako ina LOGIC lakini ngoja tuwasubiri wenyewe waje tusikie wanasemaje.Binadamu anapokufa mwili wake huachana na roho,(nafsi /uhai) mwili huo hubaki Kasha tupu lisilo na chembe yoyote ya uzima.
Na roho yake huenda sehemu inayostahili kulingana na matendo yake duniani.
Roho ndo uzima, roho ndo nafsi kamili, roho ndo uzima wenyewe.
Kifupi ni kwamba binadamu hufa mwili ilihali roho ikiendelea kuishi ktk ulimwengu mwingine wa roho ambao huwezi kuuona kwa macho ya damu na nyama.
Binadamu akifa anatisha, ukiambiwa ulale chumba kimoja na maiti huwezi, Hata Kama ni maiti ya mtoto bado utaogopa tu .
Sura ya maiti hukaa kwenye kumbukumbu ya ubongo kwa muda mrefu Sana,kwa mtu yoyote atakayeikodolea macho maiti usoni.
Tabia ya kuaga maiti haina mashiko na sababu yoyote ile.
Kuaga maiti ni kuisanifu maiti, unaagaje kitu kisicho na uhai? Ni kipi kinakusaidia kumwangalia mfu?
Napenda Sana utaratibu wa ndugu zangu waislamu, wao huiandaa maiti na kwenda kuzika basi, kuliko tabia ya mabwana wale wanaopenda kupanga foleni ili kuaga maiti msibani, foleni kubwa Utadhani walimu wanachukua mshahara kwenye ATM ya NMB.
Mwisho wake huwa ni mayowe, watu kuzimia na kuanguka hovyo msibani.
Sura ya marehemu unaitakia nini? Unamuaga marehemu ili iweje?
Waislam hawaagi Maiti (Marehemu) kinachofanyika ni kutoa utambulisho wandugu au watoto wa marehemu endapo wakati wa tukio la mauti hawajakuwepo kinachofanyika ni yule mtu wa karibu aliyekuwepo wakati umati unamfika kuwaeleza ndugu/watoto wa marehe kwamba huyo ndiye baba yenu au ndugu yenu tena wakati mwingne hutoa hata story fupi ya ugonjwa mpaka umauti kumfikaWaislamu hua wanaaga ila ni wanandugu wa karibu tu, tena mwili ukiwa ndani kama haujui ni vema kukaa kimya