Tabia mbalimbali za watu warefu

Tabia mbalimbali za watu warefu

Urefu dili eeeh sasa nimeelewa ndio maana huwa natizamwa sana wanaume kwa wanawake aaaaah,nilifikiri mrembo kumbe wanashangaa urefu!!!!!
 
Habari za mchana watazamaji, washangaaji na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali za majukwaa pendwa ya mtandao wetu bora kabisa wa JF.
Baada ya salaam hiyo naomba niende moja kwa moja kuwazungumzia watu warefu kwa kimo kwenye suala la tabia zao, haiba pamoja na mitazamo yao kwa watu wanaowazunguka.
Kusudi la thread hii ni kutaka kupata maoni mbalimbali kuhusu tabia za watu hao hasa ukizingatia kuwa wengi tunaishi nao na kufanya kazi na wengine na marafiki zetu.
Nimeamua kuweka uzi huu ili kupata uhakika wa yale yanayosemwa kuhusu watu warefu wa kimo kwamba wengi wao ni watu wenye dharau ila hawana sifa, wanajiamini(they are confident), kwa wanapendwq na akina dada/wanawake na endapo mwanamke/mdada ni mrefu wanaume wanamuhofu.
Je wewe unawaelewaje watu wa aina hii?
NOTE:
Watu warefu wapo wachache sana sio kama wengi wanavyodhani,. Na urefu ninaousemea hapa na above 6ft yaani 6+.
Nakaribisha maoni yenu.

Ok mie nina ft 7 kumbe unaongelea ft 6 aah hao ndivyo walivyo mbonaa
 
Weraaaa.... mimi ni single tena ktk lile group mnalotusimanga kuutwaa bwa mie akhaaa sijali raha ya maisha ninayoooo. Jamani watu wafupi ndio wana taaabu khaaa! mi atlist ndio mfupi kwetu sijui ni vile mtoto wa mwishoo nina 7ft kitandani lzm nilale kwa kujikunja nikiamua najinyoosha pia... sina dharau wala nini tena huwa tuna hofu sanaa maana si unajua wanavyotutania ukipta huku toluuu... nguzo ya umeme... nk so hayo utusemeayo sie waaala mtuache kabisaaaa na tunajituma ktk mambo yetu na kufocus ktk hilo sasa ndio haooo kina andunjee wanaanza kudai tunaringa nk.
 
Kwa kuwa hakuna aliyeweka oda kwa MUNGU kuwa aumbwe vipi na kwa dizaini gani...sina sababu ya kukosoa maumbile ya kiumbe cha MUNGU kwa kuwa naamini kuwa binaadamu wote sawa na tumeumbwa kwa mfano wa MUNGU na ubora wa binadamu hauongezeki kwa kuwa mrefu kupita wengine au kuwa tajiri kupita wengine.....bali thamani ya mwanadamu inatokana na yeye kuwa tu binadamu.......zipo sababu nyingi zinazomfanya mtu asijiamini ikiwemo malezi na eneo alilokulia....na wala havihusiani na kimo cha mtu...wala rangi ya mtu.....
ASIYEUMBA HAUMBUI...
 
I agreed dear . Good point. Thanks.
 
Warefu WENGI akili zao fupi, hawako vizuri darasani, hawajui ila wamajiamini kwa kitu wasichokijua. Mashauzi hadi kero yani unaweza mkuta anajisifia sifa za kijinga...
Ila wana mvuto kuliko wafupi
 
Baada ya ban ya siku tatu nimeshindwa kupata sejemu ya new topic, ila topic ninazo za kutosha kuleta hapa nashindwa nabaki mchangiaji please nisaidieni jamani nifanyeje?
 
Kwa comments tu humu unaweza kujua nani mrefu na nani mfupi...!!!
 
Back
Top Bottom