Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Hahahahaaaa! Don take it too serious, its just part of ma joke!
Umeiona hiyo picha?
Hahahahaaaa! Don take it too serious, its just part of ma joke!
Kwan wew mfupi
Anapatikana.maeneo gani kwa bongo?
Ukipenda...
Mwanaume Pesa... Urefu bila pesa ni kilema....
Nina rafiki yangu ni tall hatar made in Uganda hahahaaaaaa .....
Anajiamini
Ni mcheshi ila hana maneno mengi
Hili swali lako unataka unifunge akuuuu staki umbeya
Nina rafiki yangu ni tall hatar made in Uganda hahahaaaaaa .....
Anajiamini
Ni mcheshi ila hana maneno mengi
Ucheshi na kujiamini plus akili mingi mingi ni kawaida yetu matolu. thus why tunatamba! teh teh teh!
after olu nimekumithi thana MankaMashaxizo!
Nikufunge wapi wewe?
Asante! Unaweza kuwa mrefu af huna pesa unaonekana goi goi. Lkn unaweza ukawa nfupi af upo sharp na unapga pesa, unaishi na watu vzr, co bahili. Hata km mfupi km kistuli, Watu watakuona waukweli, strength na weakness warefu na wafupi wote wanazo
Huh, Mcheshi Ila Hana Maneno Mengi.!! Sijaelewa..
Umeiona hiyo picha?
Umeiona hiyo picha?
Vip kwani wew mrefu
Khaa! Pozi zote zile jaman?!!!!!!!!
Yeah na akili mko vizuri walah huhuhuhuuuuu nawapendaje
Nimeisoma vyema.
Hahahahaaaaa! af thaa kupendwa kawaida yetu! viomolo wajinyonge tu!