Tabia mbalimbali za watu warefu

Tabia mbalimbali za watu warefu

Ukiwa mfupi hata uwe na hela ila watu watukuita kale kafupi,mara kaandunje....bt ukiwa tall raha sana....

Hayo ni maneno ya kujifariji watu masikini, watu wenye pesa hii haiwez kuwa discussion, kuna mzee mmoja kibabu lkn kaoa aliekua miss Tz we unafikiri binti hakuona vijana wenzake? Penye pesa hizo weakness watu hawazion hata km mbaya unaonekana handsome
 
In the country of blind one eyed man is a king! kweli urefu unategemea na jamii kama kwa kina emolo ukiwa na futi tatu wabakuitaje? but urefu unalipa suala la maringo ni binafsi sana huwezi kujumlisha wote mi mrefu na nipo sawa.
 
Hayo ni maneno ya kujifariji watu masikini, watu wenye pesa hii haiwez kuwa discussion, kuna mzee mmoja kibabu lkn kaoa aliekua miss Tz we unafikiri binti hakuona vijana wenzake? Penye pesa hizo weakness watu hawazion hata km mbaya unaonekana handsome

Na vip ukiwa mrefu na pesa ikawepo
 
Me mfupi ndo sababu

Jambo jema kwako umejikubali, japokuwa u mfupi.

Japokuwa ukiwa mrefu unakuwa na sifa za ziada mfano,baadhi ya kazi zinahitaji uwe mrefu.

Hata hivyo, uhalisia wa maisha ni zaidi ya kimo: urefu au ufupi.
 
hata uwe mrefu vipi, kama huvutii sura kama unang'onga ...urefu wako haujalishi....

Baadhi wananyodo wengine hawana...Ni sawa na wafupi, wengine watata wengine si watata.

Habari za mchana watazamaji, washangaaji na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali za majukwaa pendwa ya mtandao wetu bora kabisa wa JamiiForums.

Baada ya salaam hiyo naomba niende moja kwa moja kuwazungumzia watu warefu kwa kimo kwenye suala la tabia zao, haiba pamoja na mitazamo yao kwa watu wanaowazunguka.

Kusudi la thread hii ni kutaka kupata maoni mbalimbali kuhusu tabia za watu hao hasa ukizingatia kuwa wengi tunaishi nao na kufanya kazi na wengine na marafiki zetu.

Nimeamua kuweka uzi huu ili kupata uhakika wa yale yanayosemwa kuhusu watu warefu wa kimo kwamba wengi wao ni watu wenye dharau ila hawana sifa, wanajiamini(they are confident), kwa wanapendwa na akina dada/wanawake na endapo mwanamke/mdada ni mrefu wanaume wanamuhofu.
Je wewe unawaelewaje watu wa aina hii?
NOTE:
Watu warefu wapo wachache sana sio kama wengi wanavyodhani. Na urefu ninaousemea hapa na above 6ft yaani 6+.
Nakaribisha maoni yenu.
 
Hivi ukiwa mrefu zaidi ya futi 5 ndio;
Unakuwa kitandani unanoga?
Ndio unakuwa na hela nyingi?
Ndio unakuwa na akili nyingi darasani?
Au ndio unakuwa unajua budget vizuri?
Au ndio nini......Sifa zipi ambazo ni necessary ukiachana na hizo unnecessary ambazo hazileti tija saana katika maisha na maendeleo?

Maana nikitizama wale walio chini ya 5 ila ufupi usizidi sana hadi ukawa kama mtoto.
Kama ni akili wanazo .... Ndio maana Mkapa na A.H. Mwinyi wakasoma na wakawa na sifa ya kuwa Rais..
Kitandani wanajua pia nao wapo vizuri.........ndio maana Jadda akampata Will Smith
Budget wanajua ..... Ndio maana Mramba akawa BOT
Hela wanazo.....Ndio maana MZEE Mengi, na wengineo wakawa na hela.

SIELEWI ...NASIKIA UREFU UREFU ....sielewi kilicho necessary ni nini.
Coz unaweza kuwa mrefu lkn sura huvutii, umbo huvutii upo tuuu..
Na unaweza kuwa mfupi, shep unayo inayovutia, sura unayo inayovutia..vile vile miguu. nk.

Hahahaaaa! Kumbe kabanga ni kafupi ee! teh teh teh!

Bora unyimwe akili kulikourefu! mmweh!
 
Ufupi tu unakuzingua, maneno meeeeeengi ili use tu sawa na warefu
 
Mi mrefu ft 6.3 ila mboo ina cm 3.8 inakuwaje? Naweza kujiongeza nikamridhisha demu
 
Wote ni wa mungu warefu, wafupi, weupe,weusi.
Kila mmoja ni mzuri kwa jinsi alivyo.
 
Jambo jema kwako umejikubali, japokuwa u mfupi.

Japokuwa ukiwa mrefu unakuwa na sifa za ziada mfano,baadhi ya kazi zinahitaji uwe mrefu.

Hata hivyo, uhalisia wa maisha ni zaidi ya kimo: urefu au ufupi.

Hahaha kaz za uhudumu ndege? Hazitofautiani na kaz za kuuza baa, na hawaanhalii urefu tu na sura pia labda kucheza kikapu maana huko hawaangalii sana talent ila height tofauti na kandanda haichagui ilimradi una kipaji
 
Na vip ukiwa mrefu na pesa ikawepo

Wote mna equal chance kwenye hi nchi ya watu million 45 labda km mkijitokeza kwenye mashindano ya urefu. Lkn kwenye competion za maisha nimekutana na warefu wengi wamezubaa kuna mmoja wkt tupo chuo alitapeliwa cm na dem ikabidi mm na ufupi wangu nijifanya kakaake nkamfua dem nikasema cm yangu ndo kuipata. Cjui alikopa penz me atajua mwenyewe lkn warefu wengi inapokuja swala la usharp wapo goigoi sn ndo maana wanajifariji na
hz threads wengine hata mlupo atataka umuunganishie.
 
We ni kafupi pole
 
Wanaume wafupi wanajua kujituma si mchezo, ataku-care, atakupa ma-love ya kufa mtu utahisi uko heaven...I love my kashotii😘

Dada ulishawah kukutana na mm nn? Cc haturembi kunako watoto wa kike, tupo fasta five minutes zinatosha sana mbona kumsomesha mtoto wa kike. Kuna lijamaa moja nane nane ya mkoa flani lilimpenda dem moja ofc kwetu, likawa linajipitisha kila dk, me nikalipsha labda litaomba contacts, aliishia kuuliza jina tu na story pumba had shori akamzarau. Yani km angekua short af msumbufu mda mwingi nliomuachia demu angekua kaisha. Ukisikia mtu kasemewa "we zoba nn" lazma ukigeuka utakuta ni tall,huwez kuta tu mfupi af zoba, goigoi au kazubaa
 
We ni kafupi pole

Hahahaha asante bt me ni wastani comfupi km humu wanavo hc kutokana na utetez wangu. Ila nmeobserve warefu wengi wamezubaa hyo weakness ipo ktk kufanya maamuzi na akija kushtuka mambo yameharibika. Nammic Rais wa awamu ya tatu, angekuepo na ubabe wake tungekua mbali
 
Back
Top Bottom