Tabia mbalimbali za watu warefu

Tabia mbalimbali za watu warefu

Nilidhani nahusika kumbe unatafuta watu wa above 6ft. Mimi nipo 6ft tu hivyo nadhani hii mada hainihusu.
 
Dada ulishawah kukutana na mm nn? Cc haturembi kunako watoto wa kike, tupo fasta five minutes zinatosha sana mbona kumsomesha mtoto wa kike. Kuna lijamaa moja nane nane ya mkoa flani lilimpenda dem moja ofc kwetu, likawa linajipitisha kila dk, me nikalipsha labda litaomba contacts, aliishia kuuliza jina tu na story pumba had shori akamzarau. Yani km angekua short af msumbufu mda mwingi nliomuachia demu angekua kaisha. Ukisikia mtu kasemewa "we zoba nn" lazma ukigeuka utakuta ni tall,huwez kuta tu mfupi af zoba, goigoi au kazubaa

kusema kweli nikiri sijawahi kukunwa kama navyokuna na huyu short man wangu....hapa ni mwisho w reli kigomaa!
 
Labda tufahamu vile vile kwanini kwa muda mrefu suala la kimo(urefu)ni kigezo cha urais nchini marekani....wagombea wazuri kama michael dukakis walishindwa kuchaguliwa kwa sababu ya kimo chao....
 
Back
Top Bottom