Tabia mbalimbali za watu warefu

Tabia mbalimbali za watu warefu

Just thinking, kwa hiyo kwa urefu wa edward Lowassa, dr slaa, membe.....:becky:
 
Me mfupi ft5.4 na dem wangu ni ni ft6 ila naishi nae vzr. Nikitaka dog style inabd niongeze ktu flan chin ili ni mfikie. So mapenz ni namna ambavyo ww unavo weza kumvutia mwanamke, ukarimu wako, ucheshi wako kijali kwako hata km ataenda huko atarudi analia. Nikweli mwanamke anavutiwa na body structure lkn atakimbia tabia zako km ulevi, uchafu, uasherati, kutojituma kutafuta, kutomjali nk. Ukiwa mwanaume wa kweli itang'oa madem warefu km mnazi

Mdau inaonekana we mkali sana kwenye yale mambo yetu.. Dah! Hongera sana. Ila nasikia nyie watu wafupi mna vibamia , vipi unapenda kuongelea nn kihusu hilo?
 
Mie Nina kimo cha wastani. Mademu zangu wote wanakuwaga wamenizidi urefu. Hawana matatizo kivile ukilinganisha na wanawake wafupi. Mara mbili nimewahi kujaribu kutoka na andunje Lakini walikuwa wanacomplicate sana mambo. Hawajiamini. Demu ngongoti ndo mpango Mzima.
 
Huwa nawahurumia wafupi au viomoro kwenye daladala wanakula hewa chafu tu na pia hata moshi wa magari na vumbi ni rahisi kwao ndy maana wengi hawaishi mafua. Pia watu wafupi hovyo sana kwa sifa. Ukiwa mrefu dah so handsome hata sura ikiwa hovyo!!
 
Habari za mchana watazamaji, washangaaji na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali za majukwaa pendwa ya mtandao wetu bora kabisa wa JF.
Baada ya salaam hiyo naomba niende moja kwa moja kuwazungumzia watu warefu kwa kimo kwenye suala la tabia zao, haiba pamoja na mitazamo yao kwa watu wanaowazunguka.
Kusudi la thread hii ni kutaka kupata maoni mbalimbali kuhusu tabia za watu hao hasa ukizingatia kuwa wengi tunaishi nao na kufanya kazi na wengine na marafiki zetu.
Nimeamua kuweka uzi huu ili kupata uhakika wa yale yanayosemwa kuhusu watu warefu wa kimo kwamba wengi wao ni watu wenye dharau ila hawana sifa, wanajiamini(they are confident), kwa wanapendwq na akina dada/wanawake na endapo mwanamke/mdada ni mrefu wanaume wanamuhofu.
Je wewe unawaelewaje watu wa aina hii?
NOTE:
Watu warefu wapo wachache sana sio kama wengi wanavyodhani,. Na urefu ninaousemea hapa na above 6ft yaani 6+.
Nakaribisha maoni yenu.

wana hasira na si waongeaji
 
Back
Top Bottom