lady yoruba
Member
- Nov 16, 2014
- 53
- 13
Aiseeeeh naomba nikuone basi......
Ukipenda...
Aiseeeeh naomba nikuone basi......
Hapa patakuwa na vita soon
Hahahaha!! fregmatic umeanza zako za kutuharibia hapa jukwaa ili tuwakose akina miss chagga.Habari yako kafupi kakorofi!?
Napita naenda kufunga sabato...
Hahahaha!! fregmatic umeanza zako za kutuharibia hapa jukwaa ili tuwakose akina miss chagga.
Kwani nawe ni kafupi bebii?
Nami nasubiri nijue sifa zao....
Kwani nawe ni kafupi bebii?
miss chagga hebu njoo umsikie Mashaxizo.Kudadadeki! miss chagga hafagiliagi kabisa viomolo!!!!
Na kwa taarifa tu: miss chagga hakohoi hapa! we jinyonge tu!
Hahahahaha!! mkuu acha kudhalilisha watu.
Ni kafupi balaaa.....
Khaa! Kwani mtu kuwa mfupi ni idhilali?
Kwan wew mfupi
Nina rafiki yangu ni tall hatar made in Uganda hahahaaaaaa .....
Anajiamini
Ni mcheshi ila hana maneno mengi
Tatizo we unaweka msisitizo kabisa.
Hatuongei sana kwa wachumba na wanapenda kulala kifuani kwetu warefu.na wanawake wanajisikia kuwa wako na mme bila kusahau dushele zetu sawa na viungo vyote ni vilefu.kibamia
swissme