Tabia mbalimbali za watu warefu

Tabia mbalimbali za watu warefu

Mtu mcheshi ni tofauti na muongeaji ujue sip mtu unaongeeeeea hadi aibu

Ohoo! Nilijua Ucheshi Goes Simultaneously With Kuongea-ongea, Kumbe sivyo! Hv Unaweza Ukatabasamu tu na ukapewa sifa ya ucheshi Bila Kuongea-ongea?
 
Ohoo! Nilijua Ucheshi Goes Simultaneously With Kuongea-ongea, Kumbe sivyo! Hv Unaweza Ukatabasamu tu na ukapewa sifa ya ucheshi Bila Kuongea-ongea?

Kuna kuongea na kuongeaongea mtu anayeongea mara nyingi ni ile ongea ua kawaida sana ambao haingizi habar za sifa sifa.... Ila mtu anayeongea ongea anaongea sana hata kuvuka mipaka anabwabwaja hata visivyo vya msingi
 
Ngoja ninywe kahawa ndo nije nachangie

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wafupi they are only who create problems. Yaani utamkuta na euro 100 vlub kazi zao ni kusumbua tu balaa kweli vibamia

swissme.

Ni kweli kuwa wafupi wengi ni wakorofi, watukutu na wabishi. Pia wanawake wanafeel safe kuwa na watu warefu hata km waoga hzo ni hisia zao2, na swala dushes ni kweli mwanamke anapenda iwe ndefu ili ifike mwisho. Lkn wapo wanawake wenye vina vfupi pia, na pia mwamaume hata km co mrefu ila km kitu kinafika inch 6 na ni nene haina tatizo kwa % kubwa ya madem na mikao ni muhimu inasaidia kupunguza length ya vagina. Swala unafanya unajua unachofanya? Watu wanamkunja dem anakua saiz ya kidumu cha lita5, utashangaa we mrefu af wafupi wanakugongea. Wengine wafupi lkn wapo sharp na wamechangamka hvo wana solve hzo wkeness. Co imezubaa zubaa tu et me mrefu, madem wengine wanapenda mtu sharp km yule dogo ktk move ya Titanic, ni nouma.
 
Kuna jamaa mmoja mrefu pia sifa yake kumbwa ni kuherehere mno na mbaya zaidi ss anapenda kwa sadala sana linapokuja swala la beer. Yaani round yake ikikaribia kufika ndo mkojo unambana akirudi round ishahama kwa anayefuatia.

Jamani huyo jamaa tumesema lkn habadiliki kbs aisee. Hiyo ndo tabia ya huyu rafiki yangu mrefu.
 
Hebu mtake radhi ndugu yangu afu nina wasiwasi na urefu wako ukute uko kwenye masikio tu Mashaxizo

Khaa! Weewe! (with an angry face) Embu kuja piemo ujionee mapics ya Mashaxizo! Kuja uthibitishe Mashaxizo ni bonge la mutu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom