Atlantic Star
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 543
- 1,708
......na ubaya wa vijamaa lazima viache mimba, ndo unakuta demu wako anarudi kwa adabu yupo tayari kwa ndoa sasa.....Vimario vinakula utelezi vinapotea
......na ubaya wa vijamaa lazima viache mimba, ndo unakuta demu wako anarudi kwa adabu yupo tayari kwa ndoa sasa.....Vimario vinakula utelezi vinapotea
😁😁😁 kwamba ilikuwa ni utoto muanze upya. Poleni sana mabro niko na notebook hapa mdogo wenu nachukua notice ili muda ukifika niwe naangalia kwenye reference kisha natoa hukumuMkuu hapa ni kwamba mwanamke kakosa soko na anaona wewe ndio fala wake ambae unaweza uka entertain any type of bullshit ye anaweza kufanya sababu kwa bahati mbaya yale machaguo yake ya kwanza yote yamefail, yan wewe hukuwa type yake mpaka alipofail na ndio mana wanawake sikuiz wamekuwa watu wa majuto sana na wanaonaga msamaha ni haki yao hata wakoseaje ndio mana karud kwa spidi zote kwa fala wake, alafu majibu yao huwa yanafanana ukimuuliza kwanini umefanya hivyo anakwambia ilikuwa ni utoto naomba unisamehe tuanze upya 😂😂 kmmk usiingie huo mtego... Huo ufala unaenda kufanya utakuja kujuta... Kakosa Hennessy anataka value na wewe ndio value yenyewe sasa...AKILI KICHWANI KWAKO
Sasa na ww ndio yafaa umkatae kwasababu zako. Yawezekana kipindi kile alikuelewa, ila alimuelewa zaidi aliyekuwa nae. So now yupo single, ameamua kuja kwako, uhamuzi ni wako kusuka au kunyoa.Sijalaumu kunikataa ni maamuzi yake, ila swala lipo kweye kurudi ndo kilichofanya niindike hii thread...inafikirisha mkuu kama mwanzo ulikikataa kwasababu zako,
sasa je unaporudi inamaana yule mtu kabadilika au sababu zako hazikuwa za msingi.
Ndo tabia yao mkuu umepiga kwenye mshono.......na ubaya wa vijamaa lazima viache mimba, ndo unakuta demu wako anarudi kwa adabu yupo tayari kwa ndoa sasa.....
Wanawake ni wabinafsi sana, i remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na mens wengine infront of me,nk;
Nakazia hapa... EXPECT THE BEST PREPARE FOR THE WORST.Mshikaji kaona nyongo inamuua ngoja aiteme Uku jf all in all , ukiwa mtu wa kujiandaa na dissappointment kwenye life, mapenzi hayakupi shida
Eti kiboro dinda daah, kosa ambalo siwezi fanya ni kumgongaSasa na ww ndio yafaa umkatae kwasababu zako. Yawezekana kipindi kile alikuelewa, ila alimuelewa zaidi aliyekuwa nae. So now yupo single, ameamua kuja kwako, uhamuzi ni wako kusuka au kunyoa.
Sasa ww jifanye kiboro dinda,alaf umgonge. Ushaonesha upo sitaki nataka.
Utakuja tena kuomba ushauri huku.
Well saidUlifanya jambo la akili mno kuachana naye.
Mwanamke wa kukufaa ni yule anayekupenda, sio yule unayempenda.
Niamini!
ndo maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakoenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu, anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, kesha pewa mimba jamaa kakimbia ndo anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo anayejua huyu ndo sahihi.Wanawake ni wabinafsi sana, i remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo,
Na wewe upo tayar ku change number namba ambayo ina miak mingi na michongo kibao umeandka iyo namba sababu ya uyo ukikaa kimya pasipo ku response kuna shida?Kweli hii ni nzuri pia
Ahaaa umenikumbusha uyo mmoja mkuu aliniacha Kwa kejeli na kwenda Kwa sharobaro mi nikaendelea na maisha yangu alikuja kupigwa mimba jamaa akaingia mitini no huduma siku iyo ananichek anasema ulikua utoto Tu saiz najitambua tayar mimba ndiiiMkuu hapa ni kwamba mwanamke kakosa soko na anaona wewe ndio fala wake ambae unaweza uka entertain any type of bullshit ye anaweza kufanya sababu kwa bahati mbaya yale machaguo yake ya kwanza yote yamefail, yan wewe hukuwa type yake mpaka alipofail na ndio mana wanawake sikuiz wamekuwa watu wa majuto sana na wanaonaga msamaha ni haki yao hata wakoseaje ndio mana karud kwa spidi zote kwa fala wake, alafu majibu yao huwa yanafanana ukimuuliza kwanini umefanya hivyo anakwambia ilikuwa ni utoto naomba unisamehe tuanze upya 😂😂 kmmk usiingie huo mtego... Huo ufala unaenda kufanya utakuja kujuta... Kakosa Hennessy anataka value na wewe ndio value yenyewe sasa...AKILI KICHWANI KWAKO
Hilo ndio jibu la wanawake wasiojielewa mkuuAhaaa umenikumbusha uyo mmoja mkuu aliniacha Kwa kejeli na kwenda Kwa sharobaro mi nikaendelea na maisha yangu alikuja kupigwa mimba jamaa akaingia mitini no huduma siku iyo ananichek anasema ulikua utoto Tu saiz najitambua tayar mimba ndiii
Ahahahaha ukiwa legelege wanakuendesha mdogo wangu kaa kitaalamu😁😁😁 kwamba ilikuwa ni utoto muanze upya. Poleni sana mabro niko na notebook hapa mdogo wenu nachukua notice ili muda ukifika niwe naangalia kwenye reference kisha natoa hukumu
How?baada ya tendoTatizo hamhudhurii vikao
Kumtongoza mwanamke Ni kujishusha thamani, kutengeneza mazingira ya kukataliwa na kupigwa matukio
Mwanamke huwa anatongozwa baada ya kufanya nae tendo la ndoa/uzinzi![]()
🤣🤣🤣🤣🤣ukimuuliza kwanini umefanya hivyo anakwambia ilikuwa ni utoto naomba unisamehe tuanze upya 😂😂 kmmk usiingie huo mtego... Huo ufala unaenda kufanya utakuja kujuta... Kakosa Hennessy anataka value na wewe ndio value yenyewe sasa
The problem with you nice guys is simping too much if she rejected you could've cut the friendship tooo brooWanawake ni wabinafsi sana, i remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na mens wengine infront of me,nk;
moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence basi japo ilikuw inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue...it was just me and my soul...
ikafika kipindi akaacha hyo tabia baada kuona i don't give a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat ,dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza all she say its i want to be just friends only.
Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, ooh jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa,,,,,
life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she text everytime, calls all she say is i want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.
but kiukweli i love her but i can't be with her... kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi
my point is; "women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle their reject the man who truly loves them, and ends up in regrets."
ndo maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakoenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu, anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, kesha pewa mimba jamaa kakimbia ndo anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo anayejua huyu ndo sahihi.
sasa hapa ndo wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa sababu, tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo.. Kumbe everything has changed. Ndo hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha..unabaki ni majuto tu...
if you're to jump of o bridge, make sure you know how deep the water is.
I did it bro, thats why i was decided to move on and cut off all the communication..The problem with you nice guys is simping too much if she rejected you could've cut the friendship tooo broo
Try to be a sigma no relationship that will hurt you and you'll be great with the girls
That's why the badboys always win there hearts