Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Mbaya sana. Na hii tabia naona inashika sana kasi miongoni mwa jamiiAmlize mara mbili, hapo ndo ashalizwa ivyo. Kiufupi mpira mpaka sasa ni 3 bila majibu.
Mbaya sana. Na hii tabia naona inashika sana kasi miongoni mwa jamiiAmlize mara mbili, hapo ndo ashalizwa ivyo. Kiufupi mpira mpaka sasa ni 3 bila majibu.
Hiyo ya 50/50 wanakosea sana, maana wanapiga mizinga wasio na hatiaPersonally it never crosses my mind kumpiga mzinga mwanamke, labda niwe na shida saana, na huyo mwanamke awe mtu mzima ambae ni ndugu yangu ndo hela hapo nitakopa, kuliko kumkopa mdada wa rika langu, ntamfuata mwanaume mwenzangu anikope hela
1)I think wanawake wengi wanapiga mzinga ili kumkomoa mwanaume/kumuumiza mwanaume/ au kwasababu wana roho mbaya/ au kujichukulia kwamba jamii inamuona yeye ni mwanamke lazma apewe hela bila kufanya kazi (entitlement), na sio kwamba mtu ana genuine financial problem, hiyo ndo sisi wanaume hatutaki
2) Wengine wanapiga mizinga kwasababu ya njaa na uvivu a.k.a wanakuuzia k**a indirectly
2)Naona baadhi ya wanaume nao wameanza kupiga mizinga wanawake ili iwe 50/50...sasa mimi sipo huko mumu
Nipo inboboHaya mimi hapa umenipata
Kweli dadaangu nakubaliana na wewe 100% hili tatizo ni kubwa kwa sasa. Kwa vile wewe ni mwanamke umekumbana na kidume kinakupiga mzinga; lakini amini dadaangu tatizo hili ni kubwa mno kwa wanawake. Yaani hakuna msichana mimi nimewahi kuwa na urafiki tu asiombe hela , never. Yaani wengine utachat naye siku moja tu, ya pili tayari mzinga. Sasa najiuliza kabla hatujafahamiana ulikuwa unamuomba nani???? N.a. kumbuka hapo hata hamjaonana hata siku moja. Hili tatizo ni kubwa sana hasa kwa wanawake, na ni keroHeri ya pasaka wapendwa
Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza week mzinga mwingine uniazime milion 1 nitakurudishia next week hapo hajarudisha ile laki kwakweli mimi huwa naboreka sana pale mwanaume anapoanza kujishushia hadhi mapema hivi kwa mwanamke, nachojiuliza ni kwanini uniombe hela mimi? Je kabla hujanijua ulikua una mkopa nani? Kwanini usiwakope rafiki zako au ndugu zako kwanini uje kwangu wakati mimi kwako bado ni mgeni? Hii tabia ni mbaya mno kwakweli naninailaani vikali kwani mahusiano yetu ni ya hela?
Jamani kuna kidume kiminijia nikakiona kistaarabu fulani hivi halafu kitulivu na miahadi kibao mara nataka nikufanyie hivi nataka nikufanyie vile mimi kimya namuangalia tuu maana sijazoea mapenzi kuyalinganisha na vitu sasa mwenzangu yeye nazani anafikiri mimi ni Mwanamke wa dizain hizo zakuona mapenzi ni materialists, mimi mapenzi sio vitu ni mtu mwenyewe sasa mwanaume anapoanza kuniomba hela mimi mtoto wakike ni zaidi ya udhahifu je usingekua unanijua ungeenda kumuomba nani? Nilikua nimekupa credit kibao ila sasahivi umenitoka moyoni kwangu kabisa nimekupa hizo hela kiubinadamu kama mtu tuu sio mpenzi na ole wako usinilipe najua utasoma tuu hapa ukae ukijua mimi sina mapenzi ya hela baba, nanimeshakuona hunifai hata kidogo mschssssxuu!
Yes,hili ndio nilitaka kulisikia kutoka kwako,..kuna tofauti ya kuomba/kukopa hela na vizinga,..mm mumu frankly mwanaume wangu nimuone kabisaa ana uhitaji wa msaada fulani na mm uwezo wa kumuwezesha ninao haki nampa tena wala sikukopeshi wala sikusimangi tena moyoni nitajawa na amani na furaha kwasababu nime play nafasi yangu kwa mpenzi/mchumba/mumePersonally it never crosses my mind kumpiga mzinga mwanamke, labda niwe na shida saana, na huyo mwanamke awe mtu mzima ambae ni ndugu yangu ndo hela hapo nitakopa, kuliko kumkopa mdada wa rika langu, ntamfuata mwanaume mwenzangu anikope hela
1)I think wanawake wengi wanapiga mzinga ili kumkomoa mwanaume/kumuumiza mwanaume/ au kwasababu wana roho mbaya/ au kujichukulia kwamba jamii inamuona yeye ni mwanamke lazma apewe hela bila kufanya kazi (entitlement), na sio kwamba mtu ana genuine financial problem, hiyo ndo sisi wanaume hatutaki
2) Wengine wanapiga mizinga kwasababu ya njaa na uvivu a.k.a wanakuuzia k**a indirectly
2)Naona baadhi ya wanaume nao wameanza kupiga mizinga wanawake ili iwe 50/50...sasa mimi sipo huko mumu
kwani kidogo!!!Kwanza mwanaume wa hivi hata akuweke staili gani hukojoi nahisi...utakuwa unawaza hela yako tuu ilivyopotea[emoji23][emoji23]
Mwanaume ni wajibu wako kumpa mwanamke...Mungu aligawa majukumu so msijilize.kwahiyo nyie mkituomba ss wanaume hela, it means nyie wanawake ni matapeli...kama story anayoleta mtoaa mada ni kweli basi ameshajua how we men feel, nyie wanawake mkitupiga vizinga agata edward
Upumbavu wenu wa kuangalia wanaume wapaka poda na watunisha vifua ndo wanaume sahihi ndo inayowapelekea kupigwa mizinga,Heri ya pasaka wapendwa
Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza week mzinga mwingine uniazime milion 1 nitakurudishia next week hapo hajarudisha ile laki kwakweli mimi huwa naboreka sana pale mwanaume anapoanza kujishushia hadhi mapema hivi kwa mwanamke, nachojiuliza ni kwanini uniombe hela mimi? Je kabla hujanijua ulikua una mkopa nani? Kwanini usiwakope rafiki zako au ndugu zako kwanini uje kwangu wakati mimi kwako bado ni mgeni? Hii tabia ni mbaya mno kwakweli naninailaani vikali kwani mahusiano yetu ni ya hela?
Jamani kuna kidume kiminijia nikakiona kistaarabu fulani hivi halafu kitulivu na miahadi kibao mara nataka nikufanyie hivi nataka nikufanyie vile mimi kimya namuangalia tuu maana sijazoea mapenzi kuyalinganisha na vitu sasa mwenzangu yeye nazani anafikiri mimi ni Mwanamke wa dizain hizo zakuona mapenzi ni materialists, mimi mapenzi sio vitu ni mtu mwenyewe sasa mwanaume anapoanza kuniomba hela mimi mtoto wakike ni zaidi ya udhahifu je usingekua unanijua ungeenda kumuomba nani? Nilikua nimekupa credit kibao ila sasahivi umenitoka moyoni kwangu kabisa nimekupa hizo hela kiubinadamu kama mtu tuu sio mpenzi na ole wako usinilipe najua utasoma tuu hapa ukae ukijua mimi sina mapenzi ya hela baba, nanimeshakuona hunifai hata kidogo mschssssxuu!
Hahaha kabisaaa wengine hatuna hatia hata kidogo,...si wawapige vizinga wanaowapiga na wao jamaniiHiyo ya 50/50 wanakosea sana, maana wanapiga mizinga wasio na hatia
Wanazidi kushika hatamu tuu,.Mmh kumbe kuna midume ina penda kitonga
[emoji2][emoji23][emoji2][emoji2]Vizinga vya wanawake vifupi vifupi ila vya wanaume wana vizinga vya Mwendokasi
Umeona eeeh! Inakera sana kupigwa mzinga wakati wewe hujawahi kumpiga mtu kizinga.Hahaha kabisaaa wengine hatuna hatia hata kidogo,...si wawapige vizinga wanaowapiga na wao jamanii
Yaani,hhaahh...hajambo niko nae hapa kapumzika tuu[emoji1][emoji1]Umeona eeeh! Inakera sana kupigwa mzinga wakati wewe hujawahi kumpiga mtu kizinga.
Nje ya mada shemeji yangu (Mr.M )hajambo?
Hahahahahaha, mkuu mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu si ndivyo??? Nimekusoma Poa sanaDuh.. kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu... au inanikumbusha ule ule usemi unaosema kunya anye kuku akinya bata kaarisha... kumbe na nyie mnaumiaga.. nilikua sijui
Nakusalimia Swahiba. [emoji85] [emoji85] . TehAmlize mara mbili, hapo ndo ashalizwa ivyo. Kiufupi mpira mpaka sasa ni 3 bila majibu.
Msalimie, naona siku hizi hambebishani kama enzi zile, au kwa kuwa lilikiwa penzi jipya? Ama mlijua mnaiumiza roho hivyo mkawa mnanifanyia kusudi? [emoji134][emoji134][emoji134]Yaani,hhaahh...hajambo niko nae hapa kapumzika tuu[emoji1][emoji1]
Hehehehe naww ulizidi shosti kutia huruma mpaka mm na Mr Miller tukaona tupunguze speed....ila pendo letu liko palepale....hapa nampepea tuu[emoji4][emoji4][emoji28]Msalimie, naona siku hizi hambebishani kama enzi zile, au kwa kuwa lilikiwa penzi jipya? Ama mlijua mnaiumiza roho hivyo mkawa mnanifanyia kusudi? [emoji134][emoji134][emoji134]