Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

Hehehehe naww ulizidi shosti kutia huruma mpaka mm na Mr Miller tukaona tupunguze speed....ila pendo letu liko palepale....hapa nampepea tuu[emoji4][emoji4][emoji28]
Ndio maana niliamua kuondoka zangu niwapishe mbebishane vizuri kwani niliona afya yangu inazidi kudorola kwa wivu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzuri sisi tunajali na Mr Wangu tukaona tupunguze kidogo
 
Mwanamke ana wajibu wa kumfanyia nini mwanaume? tuanze na hapo agata edward
Mwanamke atazaa kwa uchungu mwanaume atatafuta kwa jasho!....unaweza kuniambia lini mwanaume kamsaidia mwanamke kuzaa kwa uchungu?ila wanawake wanaimizwa kuwasaidia wanaume kwa jasho ..sawa si sawa?
 
I see! Kama kwa level hiyo huna mchumba kabisa kabisa imekula kwako bidada, utahangaika Sana.
Mwokozi wako anaweza zaliwa ukiwa na 35yrs,Hadi afikie umri akuokoe haupo tena duniani.
 
Heri ya pasaka wapendwa
Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza week mzinga mwingine uniazime milion 1 nitakurudishia next week hapo hajarudisha ile laki kwakweli mimi huwa naboreka sana pale mwanaume anapoanza kujishushia hadhi mapema hivi kwa mwanamke, nachojiuliza ni kwanini uniombe hela mimi? Je kabla hujanijua ulikua una mkopa nani? Kwanini usiwakope rafiki zako au ndugu zako kwanini uje kwangu wakati mimi kwako bado ni mgeni? Hii tabia ni mbaya mno kwakweli naninailaani vikali kwani mahusiano yetu ni ya hela?
Jamani kuna kidume kiminijia nikakiona kistaarabu fulani hivi halafu kitulivu na miahadi kibao mara nataka nikufanyie hivi nataka nikufanyie vile mimi kimya namuangalia tuu maana sijazoea mapenzi kuyalinganisha na vitu sasa mwenzangu yeye nazani anafikiri mimi ni Mwanamke wa dizain hizo zakuona mapenzi ni materialists, mimi mapenzi sio vitu ni mtu mwenyewe sasa mwanaume anapoanza kuniomba hela mimi mtoto wakike ni zaidi ya udhahifu je usingekua unanijua ungeenda kumuomba nani? Nilikua nimekupa credit kibao ila sasahivi umenitoka moyoni kwangu kabisa nimekupa hizo hela kiubinadamu kama mtu tuu sio mpenzi na ole wako usinilipe najua utasoma tuu hapa ukae ukijua mimi sina mapenzi ya hela baba, nanimeshakuona hunifai hata kidogo mschssssxuu!
Kuandika nayo kazi kumbe?

Uandishi wako unamakosa mengi sana
 
Kwani wewe chokochoko huyo mwanaume siamekukopa? That's mean atakurudishia sasa wewe unapanic kwanini au amekuomba? Mimi mwanaume kama ananikopa na anarudisha kweli sioni tabu cha msingi komaa akulipe kama alivyokuahidi
 
Ooohhhh sawa nahapa napata sababu zaidi ya bilion moja, yakwann Mima white cute atabaki kua mwanamke asokua na mfano.

Na nikiri kua ktk mikwamo yangu wee mwanamke umesimama nakua km Nuru mwishon mwa handaki langu.

Na tukiachana nasuala hill daaaahh kuna wakati ushauri wako ulikua Msaada mkubwa sana ambao sikuwahi kuupata mahali popote,, umenifanya niwe mkomavu mnoo.

Mwanamke weee popote usomapo huu ujumbe just know that you are so unique and different [emoji120]
 
Nimecheka mimi jamani haaahhhaa if kiboko yangu mimi
Kusema kweli hata mimi hapo mumu kanifanya nicheke sana. Na hii kiukweli kbs ameonesha jinsi ambavyo ilimkera alivyofanyiwa hivyo na inavyowauma wengine pia. Kusema kweli ni tabia mbaya kabisa kwa mtu kumfanyia mpenzi wake vile.
 
Heri ya pasaka wapendwa
Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza week mzinga mwingine uniazime milion 1 nitakurudishia next week hapo hajarudisha ile laki kwakweli mimi huwa naboreka sana pale mwanaume anapoanza kujishushia hadhi mapema hivi kwa mwanamke, nachojiuliza ni kwanini uniombe hela mimi? Je kabla hujanijua ulikua una mkopa nani? Kwanini usiwakope rafiki zako au ndugu zako kwanini uje kwangu wakati mimi kwako bado ni mgeni? Hii tabia ni mbaya mno kwakweli naninailaani vikali kwani mahusiano yetu ni ya hela?
Jamani kuna kidume kiminijia nikakiona kistaarabu fulani hivi halafu kitulivu na miahadi kibao mara nataka nikufanyie hivi nataka nikufanyie vile mimi kimya namuangalia tuu maana sijazoea mapenzi kuyalinganisha na vitu sasa mwenzangu yeye nazani anafikiri mimi ni Mwanamke wa dizain hizo zakuona mapenzi ni materialists, mimi mapenzi sio vitu ni mtu mwenyewe sasa mwanaume anapoanza kuniomba hela mimi mtoto wakike ni zaidi ya udhahifu je usingekua unanijua ungeenda kumuomba nani? Nilikua nimekupa credit kibao ila sasahivi umenitoka moyoni kwangu kabisa nimekupa hizo hela kiubinadamu kama mtu tuu sio mpenzi na ole wako usinilipe najua utasoma tuu hapa ukae ukijua mimi sina mapenzi ya hela baba, nanimeshakuona hunifai hata kidogo mschssssxuu!
Naomba uniazime laki 5, ntakurudishia kesho, ila usinifungulie uzi jf.
 
Back
Top Bottom