Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

MH unatembelea maeneo gani ambakao unakutana nao hao?
Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
kweli kabisa hizo tabia na sifa anazozitaja kwa mara ya mwisho niliwaona kijijin kwetu kwa bibi mwaka 1969 lakn mpaka mwaka 1980 walikuwa hawana hzo tabia

Chunguza utaona Mgirik wapo wengi tu hapo huko mnapopaita mjini.
 
Last edited by a moderator:
pole sana,aina hiyo ya wanawake unawamendeaga kwenye mtandao gani wa kijamii?
 
Kwnye namba 5 apo,, Ivi Kwanini wanawake hawabadiliki tu? walet ya nini wakati sku izi mpesa kila mahali?
 
pole sana,aina hiyo ya wanawake unawamendeaga kwenye mtandao gani wa kijamii?

Wanawake wa humu wote hawajawai kula hata mia ya mwanamme, magari wanayoyamiliki wameyatoa kwenye mishahara yao.
 
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.

Mkuu hizi tabia umetaja za demu wako,stop such generalization
 
Sio kweli,na unahakika gani kama nina demu?.Inawezekana ukwel ukawa mchungu.Unisamehe bure mkuu

Hao mademu wa vichochoroni mkuu,we umejuaje hizo tabia kama hujawahi.kukutana nao,pole sana,next time tafuta waschana ambao ni decent,achana na hao wa vichochorini watakutia presha buree
 
Kweli tuko tofauti,,,,,,, hapa nawaza kununua daf lf kumbe kuna wengine wanaangali hela za kwny wallet kweli dunia pana!!!!!!!!
 
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.

Hebu njo kwangu uone nafanana na hzo tabia au
 
Back
Top Bottom