NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Tatito kubwa nimeliona kwa wanawake haswa wa Kitanzania ni ile tabia ya Kuomba pesa kwa mwanamme kila mara na muda wote hata kama ana mamilioni ya pesa!
Fanya tu utafiti mdogo mwanamke ataomba pesa tu!
Sijui sababu yake!
wanawake wa africa kwa ujumla, hizo ni tabia za umalaya, hili neno hawapendi kulisikia ila ndo ukweli... ni kujiuza sema tu hawaendi barabarani au clubs au kwenye bars wao wanajiuzia kwa style nyingine..
wanawake nje hawako hivo, golddiggers nje ni prostitutes au wanao-act porn wale.. zaidi ya hapo mwanamke wa kawaida sio hawezi kabisa kumuonba mwanaume pesa, hata mkila nje atagoma atataka alipe menu yake peke yake, atakuomba hela siku kaishiwa ghafla anataka cab arudi home na hiyo atairudisha fasta, wana ile feeling kua hataki kua in debt na wewe.. ila africa hii ni kawaida sana maana wana ile view kua mwanaume should control everything.. hence africa kila sehemu ujinga na slaves kwa wazungu hadi leo..