Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
Duuuuh kazi kweli kweli, lakini Free ideas ukweli mwanamke uliyemzungumzia ni yule wa kijijini kabisa enzi za miaka ya 47 lakini siku hizi wapo tofauti kidogo. Mbona wapo wanawake wanaowahonga wanaume sasa hapo inakuwaje??
Wapo wanawake wana kazi zao za maana na wanasukuma mikoko mikali kabisa, nyumba na u msmart mpaka unapagawa unajiuliza nitamuanzaje huyu mtu kama umefall in love??
Kwa hapa labda kama ulitaka kupiga porojo lakini umewaonea dada zang.

Last edited by a moderator: