Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

Mwanamke akiolewa hataki mawifi zake wamtembelee au waongee na mime wake wakati yeye ndio namba wani anataka awakontroo wake za kaka zake.
2. Mwanamke aakiolewa hataki kabisa mama mkwe awatembelee wakati yeye anawasema mawifi hawamuangalii mama yake mzazi.
3. Mshahara wa mwanamke unakotumika hutajua ni wapi ila wewe ukiondoka asubuhi na laki anategemea ununue mafuta ya gari na gazeti tu chenji irudi na aione.
4. Hataki uwe na nyumba ndogo ila ukimsogelea usiku kama haumwi na kichwa basi ni tumbo au kuchoka au subiri mtoto alale ili mradi tu akuache frustrated.
I HATE WOMEN

Japo uliyoongea mwanzoni yana ukweli lkn umemaliza vibaya mnooo
WE HATE U TOO
 
Naongezea tabia nyingine hii.

kupiga mipicha na kuiapload ovyo fb, insta wasap etc huku WAKIWA WAMEBINUA MIDOMO NA KABANG, kwakweli wanakera sana mkuu.
 
ninahisi umekutwa na jambo si bure mkuu[/QUOTE]Naona umeanza kumwelewa mtoa mada maana inaonyesha ana umri wa akina sisi ambao bado hatujafikisha miaka 25. Pamoja na umri wangu kiduchu nadhani kila binadamu huwa na malengo akiwa anatafuta kitu chochote kama pesa, urafiki hata ndoa. Katika urafiki hata udada wa hiari mtu huwa na malengo yake. Binadamu yeyote angependa apate rafiki kwa sababu maalum na vigezo fulani. Kutafuta BF au GF kila jinsi ina kigezo kikuu. Mwanaume hujali sana k wakati mwanamke hujali sana 'kujaliwa au tuseme security'. Mwanamke yupo tayari kuvumulia kibamia ili mradi rafiki anamjali si kwa fedha hata kimawazo au hata kumwelekeza tu au hata kumsifia ambako ana uhakika kunatoka kwa mtu anayeamini anampenda kwa dhati. Kwa mwanaume anampenda mwanamke kwa kuhakikishiwa kuwa atapata k. Mwanaume wakati anamtafuta bibie akizinguliwa kwa kunyimwa k ni wachache wataendelea kufuatilia. Kwa vyovyote vile hata ndoa nyingi zinaharakishwa ili ahakikishe anapata k yake kutwa mara tatu. Ndoa nyingi huyumba pindi supply ya k inapopungua hivyo mwanaume kuona kama ametapeliwa maana alidhani akifunga ndoa; mtu atakuwa ubavuni na akigeuka tu mambo yanajipa, anasahau kuwa kuna kuumwa, kutokuwa na hamu kwa kuzoeana, kutumia (danger zone) n.k. Karibu Njinjo
 
Kiukweli kabisa wanawake ni mama zetu! Ila dah katofauti kapo kakubwa.
 
Kuwa mwanamke ni taabu sana hasa katika dunia ya sasa iliyojaa wanaume wanaotamani kulelewa mpaka wanazeeka!!!!
 
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.

dah! Nmecheka sana naona wiki hii mmeamua kuwaibukia wanawake. Hizo sifa si mchezo
 
hata wa kijijini hawaweki hela kwenye vifundo unaishi wapi wewe mleta uzi
 
Free ideas hana hela na ameonyesha aina ya wanawake anaowaweza.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wengine!! utandawazi wanautaka! utamaduni wanautaka!! wanataka mwendo wa lami tu maishani. mwanamke akitaka, ni shida.

kweli kuna wanaume huko duniani wanaamini dunia iliumbwa kwa ajili yao na mwanamke ni msaidizi tu. duh!!
 
Wanaume wengine!! utandawazi wanautaka! utamaduni wanautaka!! wanataka mwendo wa lami tu maishani. mwanamke akitaka, ni shida.

kweli kuna wanaume huko duniani wanaamini dunia iliumbwa kwa ajili yao na mwanamke ni msaidizi tu. duh!!

mbona unalalama beki3 vp amekugusa nn?
 
Tabia za wanawake wa wapi?? wa huko shamba kwenu usiwalinganishe na wa huku shamba kwetu!
 
kuna watu watakuja na tabia 800 za wanaume zinazowakera/washangaza
 
Tabia za wanawake wa wapi?? wa huko shamba kwenu usiwalinganishe na wa huku shamba kwetu!

kweli kabisa hizo tabia na sifa anazozitaja kwa mara ya mwisho niliwaona kijijin kwetu kwa bibi mwaka 1969 lakn mpaka mwaka 1980 walikuwa hawana hzo tabia
 
Back
Top Bottom