Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

Wanawake wa humu wote hawajawai kula hata mia ya mwanamme, magari wanayoyamiliki wameyatoa kwenye mishahara yao.

seriously huwa siko that desperate na mtu especially mwanzoni mwa uhusiano infact i hate asking money from a man, huwa naona kama najidhalilisha,akinipa kwa kupenda kwake thats fine, am also proud i drive a car which i bought it for myself huwa sitakagi pressure za kupangiwa masharti,mimi huwa ni maskini jeuriiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
How if i say this ,""because you are at a certain level today,.""thats y you are ignoring the past.Think about 5,7years before.Inawezekana kabisa ulikuwa kama hawa ninao waomaanisha hapa.
 
Asante sana

Mi mbona sijaongelea mitandao ya kijamii!.Kumbe unajua wapo ila ni kwenye mitandao ya kijamii asante

uliposema ukiongea nae kwenye simu kabla hamjaonana anakwambia anacheck movie,yet ukionana nae hafananii kucheck movie,hizo namba za simu mmepeanaje?kama si mitandao ya kijamii???mtaingia chaka saaaaaaaaa hahahahahahahahaha kaz kwel ipo
 
How if i say this ,""because you are at a certain level today,.""thats y you are ignoring the past.Think about 5,7years before.Inawezekana kabisa ulikuwa kama hawa ninao waomaanisha hapa.

no & neva,toka utotoni mama yangu hakunizoesha pesa,alikuwa akininunulia vitu na si kunishikisha pesa na alinifundisha kuomba mtu pesa si kitu kizuri,nakumbuka hata mgeni ilikuwa akija nyumbani akanipa pesa basi mama ataninyang'anya atasema ananiwekea,niseme kitu nachotaka ataninunulia na hiyo pesa,nahisi huenda hiyo imesaidia,kufungua mdomo wangu kumuomba mwanaume pesa ni ngumu sana
 
uliposema ukiongea nae kwenye simu kabla hamjaonana anakwambia anacheck movie,yet ukionana nae hafananii kucheck movie,hizo namba za simu mmepeanaje?kama si mitandao ya kijamii???mtaingia chaka saaaaaaaaa hahahahahahahahaha kaz kwel ipo

Kwan namba zinapatikana katika mitandao ya kijamii tu.?.
Kuna njia nyingi ambazo mtu anaweza kupata mawasiliano ya mtu pasipo mitandano ya kijamii,mfano magazeti,marafiki ama ndugu.kwa hiyo usikariri.
 
Mambo yamebadilika,tamaa mbele.Maadili Hakuna tena.Mdada yuko tayar kukaa kwao hadi anafikisha 35 yrz,kisa type ya mwanamume anayemtaka hajaipata.Unakuta anajifariji kwamba labda ipo siku atafanikisha azma yake ya kuolewa na mtu wa maana.Lakini cha Kushangaza yeye binafsi sio wa maana na hana plan zozote zaidi ya kusubil kuolewa .

Inaweza kutokea kwamba Binti kapata mchumba,huko nyumbani wazazi nako balaa.Akiwaambia wazazi swala hilo swali la kwanza huwa ni hili,,,Anafanya kazi gani?.Bint akisema Ni mfanyakazi wa banki NMB,tawi la Mazengo dodoma(mafano),utasikia ,mwanangu hakika mungu kakuona usichezee bahati mwambie aje ajitambulishe tu cc hatuna tatizo.Lakini binti akisema,
Ni mjasilia mali wa kawaida ana bustan yake ya Nyanya na mboga mboga,utasikia"Mwanangu kuwa makini sana na wanaume,tulia tu mungu atakujalia utapata mme usiwe na haraka.

Anakaa nyumban hadi anakuwa kero sasa anaanza kupanga safari za kuwatembelea ndugu.huko akienda mambo yafuatayo si ajabu kutokea.

1.Kukosana na ma-wifi zake na kusababisha ndoa za kaka zao kuvunjika,
2.Uchonganishi wa majirani na kuiba waume za watu.

3.Majungu fitina na malalamiko kwamba ananyanyaswa
4.Anataka apewe haki zote nawakati sio kwake.
5.Akinyimwa hela na kaka yake ananuna na kumchukia wifi yake kwamba anamtawala kaka yake.
 
Kwikwikiw wacha kwanza nicheke maana naona watu mnaleta mahoka hapa .Haya ndiyo yale yale ya JK kuwakimbia watanzania huko Ugenini kisa watamuuliza maswali ambayo hayatamjenga .

Look Salimu UN alipigwa chini kwa Uarabu wake lakini ni Mtanzania wa kila kitu ila damu tu ya Uarabu Reagan akasema no huyu ni Mwarabu. Salimu kwao Zenji alipigwa chini kwa Uarabu wake na hao ndiyo wanaomjua zaidi kuliko sisi Wabara .

Swala kuwa mtu anafaa achaguliwe kisa ni Matanzania nooooooooooo Tanzania ni ya mtu mweusi na kumpa Mhindi njia ya kuingia Bungeni ni favour tu mambo kama haya yamewachukua wahamiaji katika Nchi zingine miaka kabla hawajawa accepted kwenye Mabunge yao lakini sisi Watanzania hatuna sana hayo ila wao wana mambo ya ajabu .

Lazima kuusimamia Utanzania kikamilifu maana hakuna Mtanzania ambaye anaweza kukaa Uarabuni ama hata India kesho aka qualify kuwa Raia akaishia Bungeni ama kwenye madaraka makubwa kama tunavyo waachia wageni hapa Tanzania .Unamkumbuka Jamal Waziri wa Fedha Mtanzania Mhindi na alikuwa Kipenzi cha Mwalimu ? Alipokufa alizikwa wapi kama si Canada ? Jamani tuangalie haya tuache kusema kwa urafiki ama manufaa binafsi.

Swala la Ukabila ni nyeti sana .Kama kweli mtu kashika Wizara kabila moja limeshika madaraka kila kona kwenye Wizara hiyo je unaona ni mchezo ? Whre do you place our Nation Unity ambayo tunaamini katika Tanzania kama Nchi na si Ukabila ?

We need fight this right now .Hii ni mentality ambayo ni ugonjwa pia .Nasema hakuna ku beep tunafanya kweli .Mkabila ma mtaifa hatufai.

Kaka uzi mzuri ila mi napita tu hata sina cha kusema maana hawa ni ndugu zetu wanapenda maisha mazuri ila hawana mbinu wala juhudi za kuyatafuta hayo maisha mazuri.
 
Ila tuweke gender issue pembeni haya mambo aliyoleta mleta uzi ni ya kweli kabisa.
Wanawake wanapaswa kusema ukweli na kujadili na si kupinga tu na kutukana.Japo wanaume nao wanayo ya kwao.
 
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.
nimecheka sana maana haya yote nimewahi kushuhudia live
 
Ila tuweke gender issue pembeni haya mambo aliyoleta mleta uzi ni ya kweli kabisa.
Bravo
Wanawake wanapaswa kusema ukweli na kujadili na si kupinga tu na kutukana.Japo wanaume nao wanayo ya kwao.

Ukweli unauma siku zote,lakini nashukuru wachache wamekiri kwamba hizi tabia zipo japo ni za kishenzi.
 
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.

1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.

2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.

3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.

4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)

5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.

6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.

7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.

Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.

yaani when i met him alikua km muuza maji wa tazara au ubungo...!!!
afu mabrotherman siwapendagi na mahndsome maana wengi ni free p
 
Back
Top Bottom