Tabata

Tabata

Ndugu yangu usihukumu usije ukahukumiwa...bado nangojea majibu!!!

Shemeji Nivea hata majibu bado mmeshaanza kuninyanyapaa kweli??! Inawezekana sikuathirika maana tangu mwaka 2009 mpaka leo nadunda tu na afya tele...shemejiii!!!:crying:
usiniite shemeji nshakuambia kama umedanganya ndio ushajichuria ubaya
 
Mentor
tembea na jinalako mdogo wangu,safi!
 
Last edited by a moderator:
usiniite shemeji nshakuambia kama umedanganya ndio ushajichuria ubaya

Shemeji Nivea mbona hivyo shemeji...ndo ulekeo hospitali sasa huenda nikajikuta negative...itakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Dada snowhite...niombee tu dadangu ndo naenda kuchuka majibu.
Smile...ka vipi npeleke kwenye kadispensari mlikoenda nikapime na kompyuta!!!

heri iwe kwako!
yote majaaliwa!
ikiwa positive ,bado utabaki kuwa mentor
ikiwa negatie utabaki kuwa mentor!
so hakuna kitu itabadilika i see!wewe ni wewe with or without HIV infections!
 
Sukari tabata,Chumvi tabata,Maharage tabata,Sabuni tabata,Daftari tabata......Asili ya jina Tabata Mwarabu alikuwa ana duka la bidhaa za jumla na reja reja basi akiulizwa kitu na mteja anasema tabata kwa maana utapata Mtambuzi Jr ungemuuliza mwarabu Mabinti wenye UKWIMI wanapatikana mwarabu angekujibu tabata.
 
Last edited by a moderator:
Blue G...ndo naelekea hospitali kuchukua majibu ndugu yangu...niombee tu!
dahhhh aiseee so sad Mentor pole jamani mi nakuombea kweli kabisa,ila if u'll be able njoo utupe feedback tushare with you your feelings.dahhhh poor thing Mentor!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Tabata siendi tena..Tabata siendi tena..Tabata siendi tenaa, kuna dogodogo nyingi!!

Nangojea majibu Tetra ndo nijue.

Ila Tabata sikanyagi tena huko kwa kina Mtambuzi et al...

::
Mentor
Hiyo background beat ya Mushroom (Itawezekanaje kufanya mapenzi pasipo na fikra)
Da,,long time ago
=
 
Last edited by a moderator:
Stor kama shigongo

Natamani ingekuwa stori kaka...dah!

Sukari tabata,Chumvi tabata,Maharage tabata,Sabuni tabata,Daftari tabata......Asili ya jina Tabata Mwarabu alikuwa ana duka la bidhaa za jumla na reja reja basi akiulizwa kitu na mteja anasema tabata kwa maana utapata Mtambuzi Jr ungemuuliza mwarabu Mabinti wenye UKWIMI wanapatikana mwarabu angekujibu tabata.

Hahaha...sikuuliza! halafu contessa gin za babu Asprin zikanzingua zaidi...
 
Last edited by a moderator:
heri iwe kwako!
yote majaaliwa!
ikiwa positive ,bado utabaki kuwa mentor
ikiwa negatie utabaki kuwa mentor!
so hakuna kitu itabadilika i see!wewe ni wewe with or without HIV infections!

Amen dada...naomba mjulishe dada gfsonwin aniletee DOMPO! Maana sijui hali itakuwaje huko...

dahhhh aiseee so sad Mentor pole jamani mi nakuombea kweli kabisa,ila if u'll be able njoo utupe feedback tushare with you your feelings.dahhhh poor thing Mentor!!!!!

Poor thing? Najisikia afya bado ndugu yangu..mpaka i dont feel like kwenda kuchukua majibu. Naona yatanilostisha!!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor pole kwa kuwa na mento disorder sasahv
 
Last edited by a moderator:
ungeeita NILIMSINDIKIZA DADA CLINIC SABABU YA MIMBA ALIYOPEWA NA MSHIKAJI LAKINI ALIKUWA HAJUI KUENDESHA GARI
 
Amen dada...naomba mjulishe dada gfsonwin aniletee DOMPO! Maana sijui hali itakuwaje huko...

Poor thing? Najisikia afya bado ndugu yangu..mpaka i dont feel like kwenda kuchukua majibu. Naona yatanilostisha!!!
No Mentor don't do that a man does not escape his problems but do face them,after all solution ya matatizo si kuyakimbia iwe kwa mdada au mkaka,jipe moyo wa ujasiri sema liwalo na liwe ikibidi tafuta mtu wa kukukampan.Ukikaa kimya utajipa ugonjwa wa kukosa amani na furaha ya maisha kwa kuishi maisha ya bila kujijua na kujiamni.
 
Sina kampani ndo maana...!

Mentor habari yako bhana

Kaka Kipaji Halisi, nipe kampani basi nkachukue majibu bro!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom