Tabata

Tabata

TABATA


Tulienda guest moja inaitwa MUNGU ANAKUONA GUEST HOUSE & RESTAURANT. Nikalipa pale tukaingia ndani.



Wasalaam wapendwa,

Mentor.

Kwa kweli hiyo guest siyo ya kwenda. Maana hata kama hakuna mwenye nao kati yenu lazima kwa jina hilo lazima muilipe hiyo dhambi hapa hapa duniani.
 
ooh bibi..where were you bibi...nimeliaje mwenyewe leo!!!

nilikuwa shambani,ujue umeanza kushindikana mjukuu wangu sasa siku hiyo ulijiona mjanja kumbe mjinga,haya nambie majibu yakoje ili niagize ambulance mapemaaaaaaaaaaa
 
kama umeogopa kwenda kupima HIV/AIDS, sasa umepatiwa wapi ujasiri wa kuandika hii tread?
ushauri nenda kamtafute shigongo katka maswala ya utunzi wa hadith huko vizuri atakusaidia
 
pole, lkn kwangu mimi nakunywa sana, sisemi mtu aige,

amenitokea binti ni mdogo wa miaka 25, anamtoto mmj, ni mzuri na ni so sex.

Nina siku ya 6,7 hivi, bado swali langu ni moja tu, huyu binti amefanyakazi maeneo nyeti nahisi hayupo salama

nadhani mkuu ungekuwa na tabia kama yangu, usinge ingia katika unsafe sex,

si kwamba umeupata, inawezekana uko poa bado, kapime upate uhakika. kusex si kupata hadi ithibitishwe na madaktari.

ukiwa jiji lolote nchini ni muhimu kujua wapo waathirka wengi sana
.
huyu bint nitamshauri apime na hatimaye nijue na nijue kwanza tabia yake
binafsi puli limenilinda mpka leo 🙂
 
nilikuwa shambani,ujue umeanza kushindikana mjukuu wangu sasa siku hiyo ulijiona mjanja kumbe mjinga,haya nambie majibu yakoje ili niagize ambulance mapemaaaaaaaaaaa

Bibi nimeghairi kuchukua majibu bibi...nitaenda kesho. Hospitali nimepewa ED tatu.
 
Bibi nimeghairi kuchukua majibu bibi...nitaenda kesho. Hospitali nimepewa ED tatu.

umeenda hospitali feki ww majibu ya AIDS unapewa papo hapo inakuwaje ww hadi kesho,umepika story mjukuu wangu halafu unakosa defence.
 
kama umeogopa kwenda kupima HIV/AIDS, sasa umepatiwa wapi ujasiri wa kuandika hii tread?
ushauri nenda kamtafute shigongo katka maswala ya utunzi wa hadith huko vizuri atakusaidia

Kaka mpaka sasa nimegoma kwenda kuchukua majibu kaka...naona kama nikiyapata ndo nitazidi kuumwa.
 
Mentor ... you made my evening brother yani umenifanya nicheke kwa nguvu lolz!
 
Last edited by a moderator:
Hahah...wewe na watu8 mna majibu rahisi mno kwa maswali magumu. Poa bro nshaongea na amu anakuja kunpitia...

Hakuna namna hapo inabidi tu ujue mstakabali wa afya yako
 
Last edited by a moderator:
Aiseeeee hii season imeanza tena!
Hongera mentor
 
story inasikitisha lakini pia ina onya, tena onyo kuu,
iwapo kama kweli imekutokea, unachopaswa kwanza ni kutuliza mawazo, piga moyo konde, nenda kapime, maana ni wengi imeshawatokea inawatokea wanacheza mechi za hatari lakini wanachomoka
 
<b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=12209" target="_blank">Mentor</a></b> ... you made my evening brother yani umenifanya nicheke kwa nguvu lolz!

utakuwa na matatizo, kuna cha kuchekesha hapo?
 
Back
Top Bottom