Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,067
- 2,228
Kwa makusudi kabisa na kwa kurudia mara kadhaa mh dr haji mponda amemuaddress dr ulimboka kama bwana ulimboka.na kwa kusisitiza amesema ulimboka sio daktari.
Je cheti cha ulimboka kitakapowekwa hadharani waziri huyu ashitakiwe kwa kudanganya bunge na wananchi?
Je sheria zinasemaje iwapo ukikaidi kumuadress mtu kwa title yake?