Jamaa mbona anajikita na ishu ya ulimboka anaacha mambo ya msingi.
hakyaMUNGU wakimwacha huyu waziri nitaamini ccm imeoza
ningekua yeye NINGEJIANGUSHA GHAFLA nijidai nimezimia kuua soo.waziri anaongea huku akitetemeka, sijui ana ugonjwa wa mdondo!
Wakati ndio waliomtuma!
Psychologically,ukiona hivyo ujue anaongea uongo ili hali anaujua ukweli.waziri anaongea kwa hofu tupu, inaonekana jamaa ni mgeni sana kwani anaongea kwa kutetemeka
Hilo nalo neno..naona mgandamizo mkubwa kwa madaktari. Yani kaweka in such a way madaktari wanaongozwa na mtu asie na uelewa. Huyu jamaa ovyo sanaNaskia harufu ya MGOGORO MKUBWA ZAIDI