Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
eti wamesikia upande 1 hawajasikia upande wa madaktari, najiuliza yale madai ya madaktari aliyoyasema mizengo pinda aliyatoa wapi? NA HAYA ALIYOYASEMA WAZIRI WA AFYA AMEYATOA WAPI? WAMEYATUNGA AU?Kanuni ya bunge imewanyima wabunge kujadili ripoti ya serikali kuhusu mgomo wa madaktari