Nawe ufanye sasaaHongereni sana jamani that is good decision
Kati ya hao kuna vegeterians? Ninaweza kupika pishi la watu 50 bila nyama.Mia mbili ishirini
mwidiwe chambu... ula komeye...!??tehe tehe tehe, mwidiwe
Idadi ni member wote wa jfNipeni idadi ya watu maana nimejitolea kupika pilau ya sherehe.
Swali lako la kiuvivuNani mwanaume hapo tutor au chikira?
Mwidiwe Chambu, ulimuwe. Imana ibahe Urugo Ruhire.tehe tehe tehe, mwidiwe
hahahaahahahah, JF bwana kuna raha, sibanduki ng'o wala sitoki ng'oKati ya hao kuna vegeterians? Ninaweza kupika pishi la watu 50 bila nyama.
tehe tehe tehe ni kipaji nilichozaliwa nacho, sitaki kununua cheti cha mtuUmesomea wapi hiyo kazi yakuweka pesa za harusi na usisahau kutaja chuo kinacho toa hizo kozi
Uli wiwachu ga karibu chane iwanyu ni hehe seMwidiwe Chambu, ulimuwe. Imana ibahe Urugo Ruhire.
tehe tehe tehe ninayo msiwe na shaka juu ya hiloUna strong room?
Iwanyu nahehe semwidiwe chambu... ula komeye...!??
Fafanua MkuuHii ndoa mbona kama inaonekana kama ni suti na ndala.