Mkuu ila ujue lengo langu la kuangalia tukio mubashara liko palepale kama vipi nitaambatana na dadangu numbisaNdo maana kakubali .... mtoto mbichi ...chuchu saa 6, kidevu kama yai, macho malegevu, mguu wa bia, duh! natamani muda wote niwe naye karibu!
Kama hela ipo utawapata tu lakini wengi utakao wapata ni wavulana sio wanaumeHela ninazo
Kila mtu atumie zake [emoji23] [emoji23]
Bi harusi mwenyewe yupo kimya kama vile anafundwa, hataki kusema kama kweli ipo, sisi tutakuja tu.Wasiwasi wako tu! Buzuruga Plaza chini ndo tutakapokuwa!
Hapa hakuna ndoa kwa haya maneno tu, ulitakiwa uanzishe uzi wa kumtongoza basi, unadhani ukimtangazia ndoa ndo atakubali mapema!! Nop.Ndo maana kakubali .... mtoto mbichi ...chuchu saa 6, kidevu kama yai, macho malegevu, mguu wa bia, duh! natamani muda wote niwe naye karibu!
ni kweli shosti wangu niwe maid?swali maridhawa labda ni humu humu kwa Melo
Jina lako ngumu sana mkuu hadi kuku mention kaziUnamaanisha nini mkuu
Unanisingizia J nipo tayar kwa kila kitu[emoji28] [emoji28]
Hataki ndoa sasa
Mkuu mi jina langu linawakilisha wilaya nzimaJina lako ngumu sana mkuu hadi kuku mention kazi
Watu mna majina aiseee utadhan mizizi ya dawaMkuu mi jina langu linawakilisha wilaya nzima
Hata hvyo ukijitahidi kusoma jina langu hata kama ulikuwa unaumwa utapona tuWatu mna majina aiseee utadhan mizizi ya dawa
Ndio[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]JIna dawa! Swadakta
Inafanyika wapi?kam-PM sweetie akupangie majukumu siku hiyo!
hahahahaahahah nitakushonea na kagauni ka kuchanua chanua hahhahahni kweli shosti wangu niwe maid?