Taarifa ya ndoa kwa member wa JF

Taarifa ya ndoa kwa member wa JF

Hongereni sana chikira&tutor

Bado mie na mahondaw ,sijui lini tutapata wenza wa maisha ya JamiiForums[emoji4]
Mshirikishe Mungu atajibu maombi yako mdogo wangu!
 
K
Hata Empire moja au Shujaa inatosha
Kaka, kama ni hivyo naomba usije kwenye sherehe yetu! Kama konyagi, valuer, vodka n.k vitakuwepo... kwa nini viroba?
 
Back
Top Bottom