Taarifa ya ndoa kwa member wa JF

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,582
Waungwana hamjambo!
Najitokeza leo kuwatangazia kuwa baada ya mfungo wa kwaresma, mimi Tutor B nitafunga ndoa na Chikira Mtabari, kwa wale walio tayari kushiriki kwenye hafla ya kipekee tafadhali tuwasiliane kwa PM ili tuweze kukamilisha maandalizi.
Naamini hakuna mwenye pingamizi.
Karibuni sana!
 
Ndoa itakuwa wapi mwanza au ni ya humu humu jf?
Ni katika jiji la miamba, jiji la wala samaki, Mwanza city
upload_2017-3-3_12-37-7.jpeg
upload_2017-3-3_12-38-22.jpeg
 
Back
Top Bottom