Lazima niangalie tukio likiwa mubashara maana malalamiko ya watu hawaridishwi na wapenzi wao yamezidiNa chabo tena ipo???? jamani hacheni utani kwenye mambo ya kuendeleza uumbaji.
Ndo nzuri maana mchango itakuwa bando lako tunina mashaka, hii itakuwa ndoa ya hapahapa kwene jamvi letu!
Nitakuja na mbege yanguUsije ukajisahau ukajua vinywaji vitakuwa mbege
Napenda kusoma jina lako lina kiima na kiarifuNdo nzuri maana mchango itakuwa bando lako tu
Kwa hiyo hutaki?Ndoa inategemea inaweza kuwa "kitu chema" au "kitu cha karaha".
Kama ulikataa kuuziwa mbuzi kwenye gunia we ni jembe jogooNamshukuru nimejaliwa . . .
Isitoshe siku hizi hatupakui bila kuonja kwanza ...
[emoji28] [emoji28]Wewe si hadi kuna kijana alikufungulia uzi hapa!!?
Hebu kaa naye chini mzungumze fureshi
Sasa hiyo kamati utasimamia kinywaji cha mbege au cha tbsNitakuja na mbege yangu
Unamaanisha nini mkuuNapenda kusoma jina lako lina kiima na kiarifu
Upo unasubiri nnKm hamjapata mcee bado mimi Nipo
Hela ninazoUkianza kuwatafuta utawapata tu ila wanasema usiombe hela tu
Duh!Namshukuru nimejaliwa . . .
Isitoshe siku hizi hatupakui bila kuonja kwanza ...