Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,008
- 31,816
Naona unadalili ya kuazima cheti maana huu ujuzi wako hatutaki tunataka watu wenye chetitehe tehe tehe ni kipaji nilichozaliwa nacho, sitaki kununua cheti cha mtu
Naona unadalili ya kuazima cheti maana huu ujuzi wako hatutaki tunataka watu wenye chetitehe tehe tehe ni kipaji nilichozaliwa nacho, sitaki kununua cheti cha mtu
tehe tehe tehe niazime chako basi ila usiwe na "fa" hata mojaNaona unadalili ya kuazima cheti maana huu ujuzi wako hatutaki tunataka watu wenye cheti
uu mwana eghuruka ethi bure!
JF veghuruka, hahahahahahahahaKave...mi nkati ni kweri
We jamaa wewe huyu dada ametoka kulalamika kuwa bado hajapata kumbe umesha jikamatia tayariJoanah baada ya hii tutangaze yetu
Hatari sana.JF veghuruka, hahahahahahahaha
Tatizo cheti changu na kazi unayo taka kufanyia haviendani hata kidogotehe tehe tehe niazime chako basi ila usiwe na "fa" hata moja
Ingiza kichwa nikutoe meno na mapuaWe jamaa wewe huyu dada ametoka kulalamika kuwa bado hajapata kumbe umesha jikamatia tayari
Mi nipo likizo kumiliki hawa viumbe ni kirudi kumiliki nitakupa taarifa kuwa nammiriki nanIngiza kichwa nikutoe meno na mapua
yetoo ehi kweri ? hahahauu mwana eghuruka ethi bure!
tehe tehe tehe aise basi usinipe tena maana hawa wananchi wa awamu hii hawataki mchezo kabisa, wakinigundua wanaweza kuni scopioni hataTatizo cheti changu na kazi unayo taka kufanyia haviendani hata kidogo
tehe tehe teheCHIKIRA MTABARI alitangaza safari ya ghafla hapo majuzi, ndiyo mliyoenda kutambulishana au? Kama jibu ni ndiyo, basi we jamaa kwenu ni kijijini sana.
Mi nikajua bhanah alienda kuongeza ujuzi wa Ujasusi. Mhmhmh!.....
Mrembo mambo vipi? Wacheka tu mwenyewe..... Aya bhanah, we unahisi kipi? Walienda kutambulishana au kuongeza ujuzi?tehe tehe tehe
Nitakuazimia cha jirani yangu yuko hapo ng'ambo Malawi ndo amesomea hayo masomo na wewe utaonekana umesoma nje ya nchitehe tehe tehe aise basi usinipe tena maana hawa wananchi wa awamu hii hawataki mchezo kabisa, wakinigundua wanaweza kuni scopioni hata
tehe tehe tehe ntashukuru kwa kweli, ntakuwa na cheti cha nga'mboNitakuazimia cha jirani yangu yuko hapo ng'ambo Malawi ndo amesomea hayo masomo na wewe utaonekana umesoma nje ya nchi