Taarifa ya Nchimbi kwa wanahabari

Kwa taarifa hii nchimbi ni kilaza, mboa kamhanda ameachwa? ikigundulika kamhanda anahusika nchimbi hutaona aibu? au ulifanyiwa operesheni ya akili sasa unatumia masaburi kutoa taarifa kwa watu wanao kuzidi akili
 
Hiyo attachement ya NCHIMBI kwa vyombo vya habari.

Hii haivurugi uchunguzi wa kamati aliyoteua?

attachment.php

Who is telling the truth here? The Media or Nchimbi?

Jana kwenye magazeti tulisoma kwamba mtuhumiwa wa mauaji ya Daudi Mwangosi ni PC Pacificus Cleophace Simon (23), mwenye namba G2372.

Taarifa ya Nchimbi inazungumza kitu tofauti. Kwamba huyo askari ni PASIFIOUS mwenye namba G.2573.
Tumwamini nani hapa kati ya vyombo vya habari na waziri Nchimbi?
 
Apo ndo ukisikia kujichanganya. Yani hili suala lina mkanganyiko sana mara tume, kamati,flying object, vurugu za wananchi, vurugu za chadema, kafara za chadema, barua ya kuandikiwa haijitoshelezi haina address ya wizara mara kikwete hajatoa rambirambi mara tindu lissu ndani kesi ya lema,.This country bhana full tabu tupu.
 
I thought angesema amechukua hatua ya Kuachia ngazi, Mwema,Chagonja,Kamuhanda,and the likes nao wamefanya hivyo coz we dont expect hiyo kamati itoe ripoti ambaye itasema kuwa Cleophasi hausiki katika hili tuko. Kitendo cha polisi kupandishwa kizimbani ni sababu tosha kwa wao kujiuzulu.
 
Apo ndo ukisikia kujichanganya. Yani hili suala lina mkanganyiko sana mara tume, kamati,flying object, vurugu za wananchi, vurugu za chadema, kafara za chadema, barua ya kuandikiwa haijitoshelezi haina address ya wizara mara kikwete hajatoa rambirambi mara tindu lissu ndani kesi ya lema,.This country bhana full tabu tupu.

Mkuu huo mkanganyikowa number ya huyo askari unaweza kuamsha zile Hisia kuwa huyo aliyehusika hakuwa Real Askari bali ni Askari wa kichina from Magamba camps.:wacko:
 
How ironic, the letter is signed with green ink.

I doubt the "Dr." knows the meaning.
 
Nchimbi kama mnashirikiana na waandishi wa habari wangekutimua Jangwani jana. Hii ni kuonyesha eti unafanya kazi. Ungefanya jambo la msingi na tukakuona shujaa kama ungetangaza kuachia ngazi
Mkuu kuongezea tungeleimwona wa maana kama angelimsimamisha kazi IGP, RPC Iringa na kiongozi wa operation ya kusambaratisha mkutano wa CDM Nyololo!!!!Kijana wa watu katolewa kafara bure watoa amri ya kubeba mabunduki na kulipua watu wanapeta tuu!!!

Mkuu huo mkanganyikowa number ya huyo askari unaweza kuamsha zile Hisia kuwa huyo aliyehusika hakuwa Real Askari bali ni Askari wa kichina from Magamba camps.:wacko:

kweli mkuu ukizingatia kuna thread ya suala hilo humu ndani, so inawezekana kabisa unachosema. Naikumbuka sana mwanahalisi apa tungekuwa tumepewa habari za kiuchunguzi tayari. Hizo namba zinachanganya sana, humu hakuna polisi wa kutupa wahusika halisi wa hizo namba.
 
"Ihema...ana uintelijensia fulani hivi, alipewa ujaji siku chache kabla ya kustaafu...alishindwa kuandika hukumu kwa muda wa miaka minne....mpaka M/kiti wa CCM mkoa wa Singida, wakati huo, akamwandikia Rais Mkapa kumshitaki kwa kukalia kesi yake...kesi hiyo ilipohamishiwa kwa Jaji mwingine, hukumu ilitolewa kwa muda usiozidi mwezi mmoja... CHADEMA hatuna imani naye"

Chonde chonde mtakaoudhika msinipeleke mahakamani; nimemnukuu Hon. Tundu Antipas Lissu (MB).
 
Naona katumwa huyu, haya sio mawazo na maamuzi yake. Anajaribu kujikosha kuwa yeye ndio kaamuru huyo afande mdogo ashitakiwe wakati siye tulishamtambua kutoka kwenye picha! UNAFIKI
 
Baada ya kuwatetea wauaji kwa nguvu namna hii

Mimi mpaka sasa naamini kajiuwa mwenyewe.

Mtoto wangu anajuwa FFU akikwambia tawanyika unatawanyika na huendi kumvaa mkubwa wao, anjuwa hiyo inakuwa ni suicide. Na mtu aliyedhamiria kumwaga damu tu ndio anakuwa hivyo.

Tunaelewa Slaa alimtumia sms ipi Mwema, sasa tunataka kuelewa na hao "wapiganaji" wake aliwatumia sms zipi.

Tukichukulia hiyo ya Slaa tu kwa Mwema, ni nini cha kulalamika hapo?
Ndio wenyewe mmejiona wajanja hapo? kuuwana halafu kusingizia Polisi. Ya Morogoro mliona mmeikosea, hii mkahakikisha mnamsambaratisha.

Tamko litakuja usiwe na shaka, ngoja ukamilike uchunguzi mpaka sasa inaonesha ni suicide mission.

Sasa baada ya tamko hili

attachment.php

Sijui Zomba unasemaje?
 
Hivi walikuwa wanafanya uchunguzi wa nini wakati polisi aliyemuua kila mtz alimuona siku ileile?........haya mambo ya uchunguzi wkt kila kitu kiko clear ni kupotezeana muda tu. Ilitakiwa huyo asikali siku ileile angekuwa ameshanyongwa kabisa
 
Huyu jamaa ana kiwewe .

.
Kiwewe chake kinatokana ukweli kwamba kama serikali itathubutu tu kuwajibika ili walau kuonyesha kujali kura inamwangukia yeye.
Sii ajiuzulu? Mbona Mwinyi alifanya hivyo na hilo likampa heshima kubwa?
.
 
Baada ya kuwatetea wauaji kwa nguvu namna hii

Sasa baada ya tamko hili

attachment.php

Sijui Zomba unasemaje?

Nasema kajiua mwenyewe, hujasoma vizuri nyuzi zangu, huyo askari alikuwa kazini na huyo Daudi kamvaa mkuu wa kazi wa huyo askari, ulitegemea nini? ampige na chelewa?
 
Nasema kajiua mwenyewe, hujasoma vizuri nyuzi zangu, huyo askari alikuwa kazini na huyo Daudi kamvaa mkuu wa kazi wa huyo askari, ulitegemea nini? ampige na chelewa?

So unaona Pacificus alifanya kitu sahihi?

I hope sio msimamo wa CCM ni wa kwako binafsi.

Interesting!
 
Back
Top Bottom